mdundo ngoma sana
JF-Expert Member
- Jan 2, 2016
- 1,002
- 955
simba haitofanikiwa ikiongozwa na masikini nyinyi.kuiuza timu povu linawatoka mfukoni hamna hata thumuni.ninaamini kuuongoza club ya mpira ni pesa kwanza halafu akili zinashirikishwa baadaye.enyi wazee mpeni MO club hiyo mtulie muone mafanikio.simba niionavyo mimi haina tofauti na African sport ya Tanga.haina uwezo inambwela tu.dunia nzima timu zinazofanikiwa ni zinazotumia mfumo wa kibepali.chelsea man u psg na yanga