britanicca
JF-Expert Member
- May 20, 2015
- 15,636
- 30,004
40th City maarufu kama AgendaLugano
Ni mji uliomafichoni nchini Urusi ambapo melfu ya wanaume, wanaeake na watoto wanaishi na kufanya kazi kwa kulazimishwa, ndani ya fence ya umeme, wakilindwa na Maaskari Kikosi Maalumu.
Wakazi wanaambiwa kwamba ndo watumwa wa dunia wa kuleta maendeleo chanya, wao ndiyo chachu ya ufanyaji kazi na kuleta maendeleo,(Nuclear shields)