Entrance of Foreigners is strictly prohibited, Tangazo maarufu nchini Urusi kwenye Jiji lililo mafichoni

britanicca

JF-Expert Member
May 20, 2015
13,086
2,000
40th City maarufu kama AgendaLugano
Ni mji uliomafichoni nchini Urusi ambapo melfu ya wanaume, wanaeake na watoto wanaishi na kufanya kazi kwa kulazimishwa, ndani ya fence ya umeme, wakilindwa na Maaskari Kikosi Maalumu.

Wakazi wanaambiwa kwamba ndo watumwa wa dunia wa kuleta maendeleo chanya, wao ndiyo chachu ya ufanyaji kazi na kuleta maendeleo,(Nuclear shields)

city_40.jpg
 
Wick

JF-Expert Member
Dec 19, 2012
8,359

View attachment 1256160
britanicca umeileta kiushabiki sana wakati sio kweli uliyosema!..
Hiyo CLOSED CITY ni mingi tu Russia na Hata Marekani pia ipo, kwa kifupi ndani ya hiyo miji ADVANCED RESEARCH AND DEVELOPMENTS (R&D) ndimo hufanyika!. Hiili hata mchina kaliiga naye ana miji kaanza ifunga kwa ajiri hiyo!.
Na wanachofanya wanaweka mpaka reflectors satellite zikipelekwa kuiangalia zinagoma kufanya kazi!..
Hayo mambo ukisoma kitabu cha Peter Navarro - 'Death by China' kuna sehemu kayaongelea.
Hakuna utumwa humo!
 
Nimechokoza mada ili tuelewe zaid weka nondo
 
mulwanaka

JF-Expert Member
Feb 19, 2017
3,957

Hapa Tz tuna mfano wa hiyo miji closed city ya (R&D) au bado hatuja fikia hiyo hatua
 
Idimi

JF-Expert Member
Mar 18, 2007
12,632
2,000
Ngoja tumalize kuchakachua uchaguzi kwanza. Tutaanzisha.

Back to topic
USA ndio vinara wa maficho ya R&D sites. Wao wana viwanja vyao kbs vya ndege na kila kitu chao. Mojawapo ya maeneo hayo ni area 51.
Hapa Tz tuna mfano wa hiyo miji closed city ya (R&D) au bado hatuja fikia hiyo hatua
 
mulwanaka

JF-Expert Member
Feb 19, 2017
3,957
2,000
Ndio tumeamua kuanza na chattle ila bado mabeberu wanatuzingua wanashauri pesa ya kuanzishia haya makitu tukawanunulia watoto vyandarua
Kama "think tank" wa taifa mnawachisha kazi wamekua maadui, wenu kweli mtaweza (R&D city )( area 51) Thinking Tank wenu ni kama bashite J muro kachere kingwangare.... mention them......huo uvumbuzi utakua wa hovyo sanaa
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom