Enjoy this! Dhana asili ya kuchoma UDI na kuvukiza mavumba

Wewe iman yako ni ipi uislam au ukristo?
Iman yako imejengwa vipi ktk msimamo mkali au wasta?
Suala la msimamo kuwa mkali wa wastani nk linatokana na attitude aliyonayo mtu binafsi baada ya Interpretation ya maandiko ya dini anayoiamini lakini kimsingi zoezi au Rituals zinazo husisha mafusho, mafukizo udi uvunba nk yaani smudging liko ktk maandiko ya dini karibu zote kuu duniani sambamba na hao wa Imani za dini zinazoitwa za kishirkina.
 
Mi napenda udi sijui maana yake, sijui majina yake ila harufu yake tu ndani naipenda, nikichoma bila kujua maana au kudhamiria chochote ni shida?
Kama hufanyi manuizi yoyote ni sehemu ya urembo japo kuna roho unazialika naturally ambazo zinapenda uturi.. Kimsingi viumbe roho hao ni majini wapole wasio na bughudha... Na hukusihi kimyakimya utumie mpaka inakuzoea na kuwa hulka yako... Angalia wanawake wa pwani wanavyopenda udi
 
udi na ubani sioni tofauti yake
Udi upo wa unga na kijiti, ubani upo wa utovu uliokaushwa na mafusho/mavumba
4d4579f3e60a2187b15cdfc8fc401c1f.jpg
f19423a16b22a4612ac91e5a54139e7c.jpg
 
Back
Top Bottom