Enjoy Black Beauty: Did You Know They Are Two Types?!. Black Inside Out & Black Out, Inside Red!.

Nikatamani nitume yangu! Ila nkajua watu humu wataanza kunisengenya mara sina kiuno mara sina pakukalia! Ila ukweli ni kuwa hadi nafikisha umri huu, sijawah paka lotion,poda ,lipstic,wala chochote kwenye ngozi yangu. Napenda rangi nyeusi ya ngozi yangu! Kiukweli mie nikati ya wachache tunayoipenda rangi hii inayopotea! Am totally black!

Sent using Jamii Forums mobile app
Basi nitumie inbox
 
Kusema ukweli kutoka kwenye uvungu wa moyo wangu, huwa nakuamini sana hapa JF ila wee hujui. Una uelewa mpana, una mambo mengi karibia kila nyanja. Nakuona karibia majukwaa yote umo, isipokuwa jukwaa la MMu ndio sijaona ufundi wako
Karibu
P
 
Namuona Pascal Mayala anarudi katika maisha ya kawaida, Huyo Jmaa aliwahi kuishi katika maisha ya stress za kimapenzi kwa mda sana, kupenda ni kubaya.
Ohoo ...umaarufu Una shida sana..
Watu watakuchimba hata vitu havihusiani
Hapana mkuu pascal ni mtu ninaemfahamu na hata mkewake ambae yuko huku ng'ambo ninamfahamu, yule dada alimfanya kaka pascal apoteze sehemu kubwa ya ufikri wake :cool: :cool: :cool:
It's true, mimi ni mtu ninayependa sana, na mambo yangu ndio kama haya, hivyo ni kweli mapenzi yananitesa sana, haswa black beauty!.
P
 
can you show how they are red inside
Mkuu OKW BOBAN SUNZU , si nimeweka picha zao na kueleza jinsi ya kuwatambua,
utawatambua kwa kuangalia lips tuu au akiongea utaona fizi, wala full black inside out utawaona na lips nyeusi na wale blacks inside red utawaona na lips nyekundu.
au nikuwekee tena picha?


P
 

Attachments

  • 1247829_images-1.jpeg
    1247829_images-1.jpeg
    7.1 KB · Views: 52
  • 1247828_phoca_thumb_l_togolese-girl.jpg
    1247828_phoca_thumb_l_togolese-girl.jpg
    18.1 KB · Views: 48
  • 1247837_african-woman-face-11213525.jpg
    1247837_african-woman-face-11213525.jpg
    19 KB · Views: 50
  • 1247835_8267293807_d87e23ed60_z.jpg
    1247835_8267293807_d87e23ed60_z.jpg
    34.4 KB · Views: 49
  • 1247827_The-Modern-Face-Of-A-Tribe-Cape-Town-South-Africa1.jpg
    1247827_The-Modern-Face-Of-A-Tribe-Cape-Town-South-Africa1.jpg
    53.7 KB · Views: 48
Back
Top Bottom