Duke Tachez
JF-Expert Member
- Mar 28, 2018
- 5,441
- 4,093
Kweli kabisaMwacheni Mungu aitwe Mungu....
Alaaniwe aliyeleta ukimwi..... shenzy zake sana wallah!!
Kweli kabisaMwacheni Mungu aitwe Mungu....
Alaaniwe aliyeleta ukimwi..... shenzy zake sana wallah!!
We ni mnyakyusa ehHahaha kumbe basi na me ntakuwa balaa hahaha! Pasco unajua kunitia kiburi cha sifa mweee
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Utamu ni mate yako tu, ukiwa na homa utayaona machunguLips zao ndizo kigezo ndani wakoje, tatizo sijaona tofauti yao kwa utamu, wote walikuwa asali..
Basi nitumie inboxNikatamani nitume yangu! Ila nkajua watu humu wataanza kunisengenya mara sina kiuno mara sina pakukalia! Ila ukweli ni kuwa hadi nafikisha umri huu, sijawah paka lotion,poda ,lipstic,wala chochote kwenye ngozi yangu. Napenda rangi nyeusi ya ngozi yangu! Kiukweli mie nikati ya wachache tunayoipenda rangi hii inayopotea! Am totally black!
Sent using Jamii Forums mobile app
Eeh ndiwoooWe ni mnyakyusa eh
Ubaya wa jf hakunaga siri! Naweza kukutumia ikawa balaaa! Na siku za mbeleni ukanianzishia uzi!Basi nitumie inbox
KaribuKusema ukweli kutoka kwenye uvungu wa moyo wangu, huwa nakuamini sana hapa JF ila wee hujui. Una uelewa mpana, una mambo mengi karibia kila nyanja. Nakuona karibia majukwaa yote umo, isipokuwa jukwaa la MMu ndio sijaona ufundi wako
Hivi hii picha avatar ni wewe halisi ???
SawaHapana
Sawa
Namuona Pascal Mayala anarudi katika maisha ya kawaida, Huyo Jmaa aliwahi kuishi katika maisha ya stress za kimapenzi kwa mda sana, kupenda ni kubaya.
Ohoo ...umaarufu Una shida sana..
Watu watakuchimba hata vitu havihusiani
It's true, mimi ni mtu ninayependa sana, na mambo yangu ndio kama haya, hivyo ni kweli mapenzi yananitesa sana, haswa black beauty!.Hapana mkuu pascal ni mtu ninaemfahamu na hata mkewake ambae yuko huku ng'ambo ninamfahamu, yule dada alimfanya kaka pascal apoteze sehemu kubwa ya ufikri wake
Joyce na Naomi Magesa wanakusalimu sana mkuu, nimekutana nao jana kwenye mall hapa GeorgiaIt's true, mimi ni mtu ninayependa sana, na mambo yangu ndio kama haya, hivyo ni kweli mapenzi yananitesa sana, haswa black beauty!.
P
Wamsalimie sana my wife na shem wangu, baada ya Corona lockdown, my first trip is USJoyce na Naomi Magesa wanakusalimu sana mkuu, nimekutana nao jana kwenye mall hapa Georgia
Much respect Amigo, Karibu sanaWamsalimie sana my wife na shem wangu, baada ya Corona lockdown, my first trip is US
P
Mkuu OKW BOBAN SUNZU , si nimeweka picha zao na kueleza jinsi ya kuwatambua,can you show how they are red inside