Enjoy Big Brother Africa LIVE!!! through my channel online

Guys nimezima now nitarusha kesho mornin mida kwanzia saa nne hivi mpaka jioni kama umeme utakuepo
 
Guys nimezima now nitarusha kesho mornin mida kwanzia saa nne hivi mpaka jioni kama umeme utakuepo

Hii kitu bado ipo kwenye majaribio?!
Ikiwa sawa, fanya mpango Mkuu iwe 24/7, au kwa muda wote ambao umeme utakuwa unapatikana.
 
Hii kitu bado ipo kwenye majaribio?!
Ikiwa sawa, fanya mpango Mkuu iwe 24/7, au kwa muda wote ambao umeme utakuwa unapatikana.
Ntajitahidi mkuu. Leo cjafanikiwa coz baadhi za nyenzo znatumika kwgne. But nkiwa narusha nitaweka annoucment. Kwa 24/7 haitawezekana but baadhi ya mida na wakat intresting pia
 
Back
Top Bottom