Red Scorpion
JF-Expert Member
- Feb 1, 2012
- 5,736
- 4,252
*Kuna Mkaka anazunguka Mtaani anatafuta watu 17 wa kuangalia nae movie... Sababu iyo movie imeandikwa 18 and above...* ```English sio Kizaramo nae hapendagi ujingaa```
BalaaaDuuu hii kali
Ruksa mkuu!Naomba nihamishie sehemu nyingine nao wakacheke kidogo....?