English medium nouma jamani, nifanyeje nijue kingereza?

Jifunze kuongea ukiwa na staff wenzako, waeleweshe kuwa una tatizo la kuongea kati ya skills tatu (kuongea,kusikiliza na kuandika). Kuwa huru kwa walimu wenzako na as long ukiendelea utafanikiwa
Mkuu ninazo skill za kuandika na kusoma na kusikilaza ila sasa kuongea ndio mziki
 
Seems bado una alternative ya kipato, yaani nikiwaga sina hela naweza fanya kazi yoyote! Hata ngeli ningeweza kuongea straight ndani ya one week. Full kudedicate kwenye sehem husika,

Huku nyuma nilikuwa sina kitu kabisa, na nimetoka Saint kayumba nikatakiwa nikafundishe watoto wa shaban robert (ya kipind hicho) private class, nilihakikisha najua ngeli, somo husika, mpaka masomo ya ziada. Nilivosundisha siku ya kwanza wakanikubali kinooma, mwishowe nikapata vichwa vi5 vya kufundisha (maisha yalikuwa mazuri those time dah).

Ajabu ilikuwa, ngeli yangu ilikuwa inapanda nikiwa class tu nikitoka hamna kitu, yaani sometimes nilikuwa naongea kimombo straight even for 3hrs bila kutia neno la kiswahili hata moja.
Bora wewe
 
Katika harakati za kutafuta ajira nimepata kazi ya kufundisha English Medium, kwa kuwa siwezi kuongea kingireza nikachagua kufundisha Maths na ICT, sasa bwana ikaja ikafika siku ya kushika zamu za wiki, katika kutoa taratibu hapo paredi aisee natetemeka hadi mdomo kwani hakipandi kabisa kile nilichokremu ndio hicho.

Yani siwezi kuongea zaidi ya dakika 2 hadi wanafunzi wananishangaa kwanza ninavyo kibrokeni, kumbuka wale watoto ni wakali na wanaenda kunisemea hadi kwa bosi japokua analifahamu hilo lakini kavunga kwa ninachokifundisha kinaeleweka. Ila sasa hawa watoto wananishangaa hadi nasikia aibu huku nikijaribu kujikakamua lakini zero hadi jasho la mgongoni linanitiririka.

Jamani naombeni msaada kwa anayejua njia inayomwezesha mtu kuongea kingereza yani nimejaribu lakini basi tu.
Kwanza anzia apa...ukipata 20/50 basi husiende kwa Rasi Simba.
5cf9485fd01853f209f0a17614daa3b6.jpeg
 
Cha msingi kuwa "friendly with them" utaelewa. Pia tumia maneno simple na sentensi fupi fupi ambazo sio complicated. Kumbuka kuna kitu kinaitwa "trial and error" katika kumaster lugha ambayo ni ngeni kwako. All in all uko sawa coz umeweza kuonesha weakness zako. You are very smart person.
 
Seems bado una alternative ya kipato, yaani nikiwaga sina hela naweza fanya kazi yoyote! Hata ngeli ningeweza kuongea straight ndani ya one week. Full kudedicate kwenye sehem husika,

Huku nyuma nilikuwa sina kitu kabisa, na nimetoka Saint kayumba nikatakiwa nikafundishe watoto wa shaban robert (ya kipind hicho) private class, nilihakikisha najua ngeli, somo husika, mpaka masomo ya ziada. Nilivosundisha siku ya kwanza wakanikubali kinooma, mwishowe nikapata vichwa vi5 vya kufundisha (maisha yalikuwa mazuri those time dah).

Ajabu ilikuwa, ngeli yangu ilikuwa inapanda nikiwa class tu nikitoka hamna kitu, yaani sometimes nilikuwa naongea kimombo straight even for 3hrs bila kutia neno la kiswahili hata moja.
Kufundisha kwa kiingereza ni kama ukipewa eassy uandike ni rahisi issue andika history yako mwenyewe kama grammar hazipishani
 
Most people in Tanzania don't learn English, they learn a language similar to English. Because in most schools and colleges English is taught in kiswahili. How could you expect such a fluent? Dear man just contact my address 0762208190
 
What is the difference between English language and linguistics, if therefore you know it, I can contact you, addition to that may you please give us some aspects in learning second language?. (L2)
 
kiingereza unajua ila comfidence ndo huna.. na hii imetokana na kusoma sayansi maisha yako yote ya shule... kiingereza cha sayansi hakinaga mbwembwe... ila amini kiingereza unajua...!
 
Back
Top Bottom