English learning thread

I believe it's true that Tanzanians are not good at English. But it's also true that we are good at Swahili.

In my opinion, English( both oral and written) is a must-have skill unless you want to remain local.

I am still working on my English, and I believe in a few years, I will have an excellent command of this language.

Sent using Jamii Forums mobile app

Kiingereza na somo la computer ni muhimu kwa maendeleo ya elimu yetu Tanzania - JamiiForums

Wana jukwaa habari zenu, kwanza kabisa ningependa kuwapa pole ndugu jamaa na marafiki walioguswa kwa namna moja ama nyingine katika janga hili lililoikumba dunia kwa sasa ugonjwa wa covid-19, pia ningependa kuwatakia afya njema na uponaji wa haraka wagonjwa wote waliokumbwa na kirusi hiki hatari, Mwenyezi Mungu awasimamie na warudi katika hali zao za kawaida wapate kulitumikia taifa, Amina.

Moja kwa moja niende katika mada, wana jamvi kwa dhati kabisa ya moyo niseme kwamba natambua jitihada za serikali yetu adhimu katika kuinua hali za kiuchumi za wananchi kwa kupitia nyanja hii ya kielimu, nasema naipongeza sana serikali kwa hapa ilipotufikisha ama kwa hakika si haba.

Wanajamvi ni ukweli usiopingika kwamba elimu yetu Tanzania imekuwa ikikosolewa mara kwa mara na wanajamii tofauti tofauti wakisema kwamba haikidhi vigezo na wengine kwenda mbali zaidi wakiilinganisha na elimu za nchi jirani kwamba elimu yetu imezidiwa katika nyanja nyingi na elimu ya nchi hizo, binafsi baada ya kufanya uchunguzi nimekuja kugundua kuwa ni kweli kuna baadhi ya maeneo tunapaswa km sio kuyabadilisha basi kuongeza baadhi ya vitu ili kuirudishia heshima elimu yetu ya Tanzania kama ifuatavyo;

1. Kingereza kiwe lugha rasmi ya kufundishia kuanzia primary mpaka chuo.

Ni ukweli usiopingika kwamba mpaka sasa Tanzania hatuna lugha rasmi ya kufundishia kuanzia shule za msingi mpaka sekondari kinyume chake kumekuwa na mikanganyiko isiyoisha wengine wakisema tutumie kiswahili wengine wakisema tutumie kiingereza, jambo hili limekuwa likiwachanganya sana wanafunzi, yani mtu anatoka shule ya msingi ambapo alisoma kwa kiswahili kuanzia darasa la kwanza mpaka la saba baada ya hapo anakutana na kiingereza uchwara kuanzia form 1 mpk form 6 baada ya hapo anaingia chuo akiwa keshaharibiwa msingi wa lugha anakutana na malecturer ambao wengine huwa hawataki kabisa kusikia habari za kiswahili lakini wakati huo huo kuna malecturer ambao wanatumia kiswahili kufundisha matilio ya kiingereza.

Jambo hili limekuwa na matokeo hasi sana kwa wanafunzi wa Tanzania ambapo inapelekea wengi wao kushindwa kufanya vizuri katika masomo yao lakini pia kushindwa kuwa competent kwenye sekta nzima ya ajira, hii ni kutokana na ukweli kwamba wengi wao wanatoka vyuoni wakiwa hawana msingi mzuri wa lugha ya Kingereza lakini hapo hapo wakija kuomba ajira wanakutana na interviews za Kingereza na hii ni mpaka interviews za serikalini.

Naiomba serikali ilitazame suala hili kwa jicho la tatu na ikiwezekana ipitishe mtaala wa Kingereza kwani hata baba wa taifa alishawahi kusema kuwa lugha hizi mbili yani kiswahili na kingereza ni muhimu kwa watanzania na ni vizuri tukazijua zote kwa ufasaha, lakini pia haitakuwa dhambi watanzania wakizijua vizuri lugha hizi zote mbili kwakuwa hata bungeni baadhi ya miswada inaandikwa kwa lugha ya kingereza pia kama kingereza kitakuwa lugha rasmi ya kufundishia itapunguza hata gharama katika shule binafsi kwani ni wazi kwamba wazazi wengi wamekuwa wakiwapeleka watoto wao English medium sio Tu kupata elimu bora bali pia kujua vizuri kingereza, ss kama kingereza kitakuwa lugha ya kufundishia katika shule za serikali unadhani ni wazazi wangapi wataacha kupeleka watoto wao English medium?

Hizi hapa ni njia ambazo zinaweza kutumiwa na serikali ili kufanikisha jambo hili;

i. Serikali inaweza ikatangaza kuwa baada ya miaka miwili tutatumia lugha ya kingereza katika kufundisha hivyo kuwataka walimu wote wa shule za msingi mpaka wa sekondari kuhakikisha wanajua kingereza cha kuandika na kuongea (hapa maana yake walimu hasa wasiojua kingereza itabd wapewe tuition ya lugha hiyo),

ii. Hili pia liende sanjari na vitabu vya kufundishia napendekeza nchi nzima itumie vitabu vya aina moja mfano tunaweza tukaamua kutumia vitabu vya Oxford kuanzia primary mpk secondary.

2. Computer liwe somo la lazima kuanzia primary mpaka sekondari.

Ni wazi hakuna asiyejua umuhimu wa computer katika dunia ya sasa, hii inatokana na ukweli kwamba kama watoto wataanza kusoma computer kuanzia primary tutapata wataalamu wengi mno katika kila idara kwani computer ni muhimu katika nyanja zote dunia ya leo. Na hili linawezekana kabisa wala sio gharama kubwa kama tutalinganisha na faida ambazo tutazipata kama taifa.

Nawasilisha.
 
I note that you have begun and I congratulate you. Your level is actually quite good. I am myself not all that good, and I need people to correct me too. We need to encourage each other. Many mistakes can be avoided by using shorter sentences, especially when our command of the language is not very advanced.
Of course if possible we can made even a little group to improve our knowledge ...
 
There has been a debate circulating among education practitioners, policy makers and intellectuals whether or not, there is a need to revamp our education curriculum to include English as language of instruction through all levels of our education system and Kiswahili taught as a subject. Since we are here to learn the language, i would like to here your opinion on the matter.

Me personally, I see there is need to harmonize this issue so that we can expand our socio-economic horizon with other regional members. I wish to see it implemented in our education system because of the benefits of mastering two languages that are spoken widely among East Africa community members. It would also help us avoid embarrassing experiences we often face when expressing ourselves in English.

It is contradicting situation to be taught in swahili, while employment interviews are conducted in English. If we are both qualified for a job, but we fail to articulate our ideas clearly using a language taught for atleast 14 years of our academic life, to me I see we are not making progress.
 
There has been a debate circulating among education practitioners, policy makers and intellectuals whether there is a need to revamp our education curriculum to include English as language of instruction through all levels of our education system and Kiswahili taught as a subject. Since we are here to learn the language, i would like to here your opinion on the matter.

Me personally, I see there is need to harmonize this issue so that we can expand our socio-economic horizon with other regional members. I wish to see it implemented in our education system because of the benefits of mastering two languages that are spoken widely among East Africa community members. It would also help us avoid embarrassing experiences we often face when expressing ourselves in English.

It is contradicting situation to be taught in swahili, while employment interviews are conducted in English. If we are both qualified for a job, but we fail to articulate our ideas clearly using a language taught for atleast 14 years of our academic life to me I see we are not making progress.
Tupo pamoja mkuu, naomba upitie huu uzi wangu zen utoe maoni yako kiongozi

Kiingereza na somo la computer ni muhimu kwa maendeleo ya elimu yetu Tanzania

Kiingereza na somo la computer ni muhimu kwa maendeleo ya elimu yetu Tanzania
 
There has been a debate circulating among education practitioners, policy makers and intellectuals whether or not, there is a need to revamp our education curriculum to include English as language of instruction through all levels of our education system and Kiswahili taught as a subject. Since we are here to learn the language, i would like to here your opinion on the matter.

Me personally, I see there is need to harmonize this issue so that we can expand our socio-economic horizon with other regional members. I wish to see it implemented in our education system because of the benefits of mastering two languages that are spoken widely among East Africa community members. It would also help us avoid embarrassing experiences we often face when expressing ourselves in English.

It is contradicting situation to be taught in swahili, while employment interviews are conducted in English. If we are both qualified for a job, but we fail to articulate our ideas clearly using a language taught for atleast 14 years of our academic life, to me I see we are not making progress.
Your right Mr. Many people have massive ideas but language fails them
 
Back
Top Bottom