English learning thread

Can i add you in my English charting group it will help you


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
...hi to everybody!im very excited to join you in this platform of learning the spoken english with you!,im not good since i have join just to get help as im a victim who suffering alot now for missing to communicate well in english!....with regards!
IMG_20181223_104047.jpeg
 
Mimi pia napenda kujiboresha katika lugha hiii. Kwa upande wangu naona nivyema tukaunda group la wasap tutakalotumia kujifunzia lugha hii ya malikia pia tukipata wadau ambao ni manguli katika lugha hii kutoka hapa jamii forum itakuwa poa.
Mimi Mama wawili (naamini na wengine wengi) nina nia sana ya kujifunza na kuboresha uwezo wangu wa kutumia Lugha ya Kiingereza. Nimeomba ushauri na nimepata jibu kuwa kuna washiriki wengi hapa JF wana uwezo wa kunikuza katika hii lugha ngeni ambayo kwangu ni Mtihani katika kuweza kuitumia. Naomba ushauri wenu lakini zaidi naomba kujifunza. Kila ambae anaona anaweza kuwa ni Mwalimu naomba niwe mwanafunzi wake katika hili.

Nitajitahidi sana post zinazofuata nitumie Kiingereza ambacho nina hakika kabisa kuwa kitapinda; na hapo ndipo najikabidhi kwenu ili kiwe kinyoofu. Nitakuwa huru sijali kukosea sababu najua ndio njia pekee naweza tambua ni kwa kiasi gani nakosea hasa nikitegemea masahihisho toka kwenu.

Natanguliza shukrani kwa washiriki wote wataoweza nisaidia katika mapungufu yangu ya lugha hii ya Kiingereza.

Mama Wawili.


 
Back
Top Bottom