Logo ni alama tu ya biashara inaweza kukawa hakuna jina ila logo ikawasilisha biashara yako kama logo ya Toyota, Mercedes Benz au BMWKwenye logo ya NMB hakuna neno Bank kwa mbele
View attachment 1172009
Hayo ni makosa ya kiuandishi tu...sidhani kama tuna haja ya kubishana kitu ambacho kiko obvious hivyo. kama unafahamu mtu yeyote katika Industry ya Advertising Agency, branding nk mcheki anaweza kukufafanulia.Soma hiyo picha hapo chini nilipo fanya highlight
View attachment 1171516
kweli kabisa. Kuna watu humu wameeleza vizuri. Hata kama hujaenda shule unaelewa. Ila watu wabishi kuelewaKuna mtu aliwahi sema ukisoma sana ndio unazidi kuwa mjinga leo ndio nimeamini.
Hayo ni mambo ya kawaida tu. Kumbuka shule ya sekondari ya wasichana ya Songea Girls, au Green vest ya kijani, gazeti la serikali la Government Gazette, au mtaa wa Msimbazi StreetTPB kirefu chake ni "Tanzania Postal Bank" kama sikosei. Sasa TPB Bank maana yake ni Tanzania Postal Bank Bank? Ni sawa na mtu anayesema "daraja la Selander bridge" anakuwa ametamka "daraja na bridge" kwa wakati mmoja wakati maneno yote mawili yana maana sawa???
Asante mkuu. Asante sana.Ulichokizingumzia nakifananisha na chaneli ya ESPN Marekani.
Mwanzoni, ESPN ilikuwa ni kifupi cha Entertainment and Sports Programming Network.
Lakini baadaye nikaja kusikia kwamba waliamua kuji rebrand na kujiita tu ESPN kwa sababu tayari walikuwa wameshakuwa brand name kwenye mambo ya habari za michezo na burudani.
Kwa hiyo, ESPN ya sasa hai stand for anything tena.
Mkuu you are hitting imagination levels that were previously unprecedented....Benki kama hii haikawii kukutungia accounting principles mpya zitakazofanya kila shilingi yako uliyoweka kwao baada ya mwaka iwe senti hamsini.
Wanaweza kukuambia "tume i rebrand one shilling iwe fifty cents"!
Acha roho mbaya mkuu unataka huu uzi uende mpaka 2025?Tukimaliza hilo tuhamie kwenye BancABC
Banc ndio bank au? Ngoja tuendelee na TPB kwanza.
If they rebranded from Citibank to Citi doesn't that mean they used to be Citibank bank?Citibank wame rebrand kutoka Citibank kwenda Citi. I was there. Mpaka email addresses wakabadilisha kutoka @citibank.com kwenda @citi.com.
Sijaona Citibank Bank!
Sio lazima inategemea na scope unapo operate,mfano ukisema Nmb kwa Tz kuna mtu hataelewa unamaanisha bank? Yaani kuitaja Yanga hadi uweke na fc ndio mtu aelewe unamaanisha timu ya mpira?
NMB is brand nameNa NMB ni brand name ama ni acronym???
Correct; Watanzania ni wavivu wa kufanya research....kuna bank ilikua inaitwa:Sie wabongo ni wabishi kweli kweli. Pamoja na maelezo mazuri ya baadhi ya wachangiaji bado watu wanataka kurefusha hivyo vifupisho...)
Siyo kibiashara mkuu, ni kisheria. Banking law inazitaka taasisi zinazoitwa benki kuweka neno Bank katika majina yao. Mtoa mada hajiu kwamba jina la tasisi hiyo lilishabadilishwa kutoka Tanzania Postal Bank na sasa ni tpb Bank.Neno Bank linaongezwa kibiashara. Ukisema Crdb au Tpb bila kuwa kuweka neno Bank inaathiri kimatangazo.
Neno Bank ni lazima liwekwe kwenye jina la Bank kisheria (Banking Law) na ndiyo maana haiitwi Ltd au Inc. au chochota, kama ni Bank, dunia nzima lazima neno Bank liwekwe.Nadhani ukitumia kifupi cha hayo maneno yanakuwa hayatoi taarifa inayojitosheleza, ndio maana huwa inabidi kuongeza neno Bank mwishoni ili kuwa maalumu. Mfano neno TPB lingeweza kuwa na virefu vingi kama Tanzania Private Businesses, Tanzania Postal Bank, Telecommunication Professional Board. n.k. Ila ukisema TPB Bank moja kwa moja unaelewa kinachozungumziwa hapa.