ENGLAND: Unai Emery ateuliwa kuchukua mikoba ya Mzee Wenger

PSG wamemuona hafai arsenal wanambeba...Hopeless Arsenal
Duu makocha na wachezaji ndivyo maisha yao hayo,Mo salah alionekana hafai Chelsea akatolewa kwa mkopo Italy baadae akauzwa jumla klop akamuona anafaa washabiki wa Liver walimshangaa yeye akawaambia kwa mfumo anaotaka kuutumia atawasaidia leo hii ndio nyota hata hivyo PSG ipo vizuri tatizo ipo kwenye ligi isiyo na ushindani ndio maana UEFA wanapata tabu.
 
Nani vile. Wameachana na Arteta?

Talksport wanasema Arteta kaitosa Arsenal baada ya kumpunguzia mamlaka ya maamuzi kwenye timu na pia bajeti ndogo ya usajili. Wameshindwa kufikia muafaka. Wanataka hadi usajili wamfanyie yeye akiwa na uamuzi kidogo juu ya usajili na kuuza wachezaji
 
Huyu ni moja kati ya makocha wa ovyo kabisa yaani pale Psg alipata kila alichotaka lakin timu ilikuwa inacheza ovyo sana hata kwenye Uefa hamna cha maana alichokifanya. Sasa hapa kwetu Arsenal si ataharibu timu kabisaaa yaani maamuzi ya ovyo sanaaa duuuh.
Tatizo mna majina yenu mfukon
 
PSG wamemuona hafai arsenal wanambeba...Hopeless Arsenal
Mourinho alionekana hafai chelsea ila madrid walimuona anafaa pia chelsea walimuona kinyesi ila manure wakamuona almasi,guadiola katimuliwa bayern ila city wakamuokota taja kocha gani asiyetimuliwa? Hayo ndio maisha ya soka......chelsea wanataka kumtimua conte ila kuna utitiri wa timu unasubiri wamdake........
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom