Mzingo
JF-Expert Member
- Nov 2, 2014
- 4,722
- 10,475
Wakati narudi toka job nikapitia kwenye kikao cha kahawa mtaani kwangu. Hapo kuna watu wameishia la tano tu ila wanajenga hoja si mchezo. Mada ni kuwa kuna wanaosema mainjinia wao ni kubweda tu,kila a engineer. Wengine wanasema ni kundi fulani ndio linakaba tends na ndio wanawakilisha na kuipa sifa hiyo fani. Kwamba kuna Wahandisi ni Hand to Mouth. Kwa kweli Mimi sina mifano wa engineers choka mbaya. Wote wako vyema.
Nini hoja yako?
Nini hoja yako?