"Engineer" huyu kiboko...,

Naona kama ngazi hazina continuity vile. Ukifika kwenye maungio ndo umekwama hivyo!!!! Well najaribu kuona ikiwa picha hii inaonekana hivi kutokana na angle ya camera.
 
Naona kama ngazi hazina continuity vile. Ukifika kwenye maungio ndo umekwama hivyo!!!! Well najaribu kuona ikiwa picha hii inaonekana hivi kutokana na angle ya camera.

hAKUNA CHA ENGO YA CAMERA HAPO KAKA, Ngoma imegongeshwa!
 
jamani mpaka alete mkoloni tu ?

huyu kaamua kuja na design mpya na nutaona wazungu wakiiga
 
Wengi wakuwajibika hapo..kuanzia mtoa kibali,msanifu wa jengo,msimamizi wa ujenzi,mkaguzi/mshauri na mjenzi mwenyewe!!
ERB wapo wp?
 
Nadhani that's an art work na ngazi zenyewe ziko ndani ya nyumba! If so, itakuwa ni very nice attraction.
 
jamani mpaka alete mkoloni tu ?

huyu kaamua kuja na design mpya na nutaona wazungu wakiiga

We vp! hata uzito wa ngazi za juu amekosea ku balance, haulali kwenye kitako cha maungio! hivi ni makusudi au mkomoeni!???:embarrassed:
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom