Engine ya Toyota Landcruiser ya 1HZ inahitajika

Mawio

Member
Nov 25, 2008
54
23
Wakuu, salaam!!!..

Ninahitaji engine ya Landcruiser 1Hz Series iwe katika hali nzuri.

Mwenye nayo ani-cheki inbox au kwa namba hii +255788246790

Bajeti/Pesa niliyonayo mkononi ni Millioni mbili na nusu (2,500,000/=) Pesa za Ki-Tanzania.

Shukrani.
 
Umeshapata engine

Bado mapambano yanaendelea Mkuu Sirajj Johnn, jana nilipata moja ya Millioni 3.5 ikawa nje ya budget yangu, nategemea nitapata ya 2.5 soon.

Tuendelee kuombeana uzima Mkuu.

Shukrani.

~Mawio :):)!!!..
 
OK unaweza kuulizia maana sijawahi kusafirisha engine kutoka huku huwa nasfirsha Magari tu na mie pia nitaulizia
 
Huu uzi nimeupenda, nami nina huitaji was Engine 5L, naweza ipata kwa being gani wakuu?
 
Huu uzi nimeupenda, nami nina huitaji was Engine 5L, naweza ipata kwa being gani wakuu?

Mkuu Kyata!!!..

Heshima mbele.

Tumsubiri Mkuu Sirajj Johnn najua atakuja na taarifa zaidi kuhusu hilo.

Pia wakuu wengine ambao hilo ndilo eneo lao la kazi ndugu yangu.

Natanguliza shukrani.

~Mawio :):)!!!...
 
Labda kahisi unataka gari zima sio engine

Ha ha ha ha ha ha ha!!!..

Mkuu Extra miles, heshima mbele ndugu yangu.

Hapa nimeona umuhimu wa miwani na kile ki-tufe cha "Preview" kabla huja-post na kila mara unapopitia uzi wako Mkuu.

Tuko pamoja, nishafanya masahihisho stahiki kwenye bandiko husika.

Nikutakie kila la kheri unavyofunga mwaka na unavyoingia mwaka 2019.

Natanguliza shukrani nyingi.

¬Mawio :):)!!!..
 
Mkuu BlackPanther.

Heshima mbele.

Kwa maana ipi, hutajali kutufafanulia kidogo labda kuna kitu tume-miss ukawa umetusaidia.

Shukrani Mkuu.

¬Mawio :):)!!!..

Haina shida kamanda...naona tayaru usharekebisha.
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom