Huu uzi nimeupenda, nami nina huitaji was Engine 5L, naweza ipata kwa being gani wakuu?
Labda kahisi unataka gari zima sio engineMkuu DeepPond!!!..
Kwa nini unahisi siko serious Mkuu?!!..
Shukrani,
~Mawio !!!..
Labda kahisi unataka gari zima sio engine
Mkuu BlackPanther.
Heshima mbele.
Kwa maana ipi, hutajali kutufafanulia kidogo labda kuna kitu tume-miss ukawa umetusaidia.
Shukrani Mkuu.
¬Mawio !!!..