Chupayamaji
JF-Expert Member
- Sep 19, 2017
- 5,786
- 13,561
Nenda pale ilala uliziya msaada gereji utakutana na fundi ISSA atakufanyia na kukupa ushauri mujarabu kabisa ni karibu na Bungoni
kweli, bei ni mule mule, nimeamua kununua engine usedndugu yangu gharama za overhaul kit (full) hazijaachana mbali na bei ya engine ya 1JZ used ...
ushauri nenda kanunue engine nyingine used funga kwenye gari maisha yaendelee
Hamna nimekaa na kuzunguka huku na kule na nimeona kweli, ni bora engine used bei ni mule mule, tofauti kidogo na uhakika wa overhaul mdogo,Kuelezwa kote huko bado unataka uendelee na utafiti ? inaelekea wee ni mbishi kama Muhidin Ndolanga na mie nasisitiza nenda na fundi wako pale Ilala mchague Engine safi muifanyie test then ukaifunge ianze kula mzigo na hiyo uliyoitoa unaweza kuikarabati taratibu au ukaifanya spare kijana, tatizo lako watu tulishapitia na wengi wanaokupa ushauri hapa tayari wana experience e.g Chilubi #8 hapo juu kakuelezea kitaalamu sana fata ushauri wake bro hutaumia
umechukua uamuzi mzurikweli, bei ni mule mule, nimeamua kununua engine used
Hamna nimekaa na kuzunguka huku na kule na nimeona kweli, ni bora engine used bei ni mule mule, tofauti kidogo na uhakika wa overhaul mdogo,
Habari wakuu, nahitaji kufanya engine overhaul kama nilivyoshauriwa na mmoja wa mafundi,hii inatokana na kuwa gari niliyonunua ilikaa muda mrefu na iligundulika wakati wa service kuwa oil pump haifanyi kazi, water pump nayo haiko sawa, pia baadhi ya pipes zinazoonekana zinahitaji kubadilishwa, aina ya engine ni 1JZX.
Pia fundi aliniambia anahisi kuna moja ya piston huenda ikawa na tatizo. Naombeni ushauri pia kama kuna mtu anamfahamu fundi mzuri wa overhaul hapa Dar anitupia namba. Lkn pia ushauri kutoka kwa wataalam
Land Cruiser haitumii JZX engines mkuu, JZX ni cc2500-3000 utaipata aidha kwenye Mark 2 ama Chaser GX90/100/110 ama currently kwenye Altezza, Brevis, Progress, Aristo ama Supra.Kama siyo bahili sana nashauri ununue injini mpya. Siyo mtaalamu wa magari lakini common sense tu imenionyesha hivyo kutokana na ulinyowasilisha issue yako. Hicho unachotaka kufanya kuna uwezekano mkubwa kikaja kukugharimu zaidi ya injini mpya, pamoja na usumbufu juu! Pia kuna uwezekano mkubwa ukaja ukakosana na hao mafundi wako. You would better order a new engine right from Japan. Nahisi gari yako ni LandCruiser LX or similar, 4000cc possibly
Uko sahihi. ila nadhani kitu kama Landcruiser LX zina injini inaitwa ZX!Land Cruiser haitumii JZX engines mkuu, JZX ni cc2500-3000 utaipata aidha kwenye Mark 2 ama Chaser GX90/100/110 ama currently kwenye Altezza, Brevis, Progress, Aristo ama Supra.
Kwenye Land Cruiser LX anaishi mnyama aitwaye 1Hz ama 1HD-T na sasa 1VD-FTV ambaye ni v8!
Nunua engine mswaki mzee mwisho wa matatizo
Engine mswaki unauziwa engine tu bila vikorokoro vya pembeni kama starter nk?Engine mswaki ndio ikoje nyie vijana?
Uko sahihi. ila nadhani kitu kama Landcruiser LX zina injini inaitwa ZX!
Mkuu mi nilinunua 1.2M ilala malapa kwa wajapani ila ni mwaka 1 uliopita. Na mpaka sasa ipo poa kabisaaaaSamahani mkuu hv engine ya IST 1290 inaweza kuwa sh.ngap?
usijaribu kufanya overhaul bongo kwa injini za vigari vidogo labda malori/mabasi. Naungana na waliokushauri kuwa nunua used usithubutu kabsaaa kuoverhaul utapoteza pesa zako. Issue ni kuwa kwanza spare nyingi za overhauling lazima utapata ambayo kuna fake, kingine mafundi wenye weledi na vifaa vya kutosha kwa kazi hiyo bongo hamna. Kuoverhaul engine kunahitaji fundi kuwa na vifaa vingi sana na vya kisasa kwa ajili ya kazi hiyo, na fundi atalazimika kufanya vipimo kadha wa kadha na calibration kibao, plus setting za kufa mtu.Kumbuka overhauling ya engine siyo kufunga funga tu machuma ya engine ili gari liwake big no! kuna performanca ambayo lazima gari liwe nayo at certain conditions sasa bongo fundi gani ana hayo mavifaa yoooote kwa ajili ya kazi hii??? hata wachina wenyewe hawana.Asanteni wakuu, Naona hapa katika kusoma ushauri wenu, kununua engine nyingine ni bora kuliko overhauling, sababu ya mafundi wetu, ingawa overhauling inasaidia kupata new components ndani ya engine ila pia chochote kikikosewa katika process nzima ya overhaul basi unaweza kujikuta kweli umepoteza.
Naona niendelee kuliweka kwenye utafiti na mawazo niamue je ni overhaul ama ni replace...
Mkuu naweza peta namba za hao.wanao uza maana mimi nahitaji ya hariaTulibadiki mwaka Jana haikufika hata million tulinunua pale ilala kwani ww uko wapi mkuu nikuunganishe nao?
Ngoja nikutumie ya fundi wetu akupeleke hapoMkuu naweza peta namba za hao.wanao uza maana mimi nahitaji ya haria
Sent using Jamii Forums mobile app
Ushauri kwa wengine, Gearbox usijaribu kurepair, nunu nyengine tu ustarehe.Siamini sana overhauling ya mafundi wa kibongo,walinifanyia ya gearbox nikaingia gharama kibao na bado ikaendelea kunisumbua mwishoe nikaishia kununua used gearbox ndio ikawa ponya yangu,kwahiyo hata mimi ningekushauri kama alivyoshauri mtu hapo juu,ujichange kununua engine kama hiyo used...
2m imekuwa injini ya treni?si mtaalamu wa bei lkn nafkr ni 2M