Engine overhaul

Davey 2017

Senior Member
Mar 24, 2017
109
133
Habari wakuu, nahitaji kufanya engine overhaul kama nilivyoshauriwa na mmoja wa mafundi,hii inatokana na kuwa gari niliyonunua ilikaa muda mrefu na iligundulika wakati wa service kuwa oil pump haifanyi kazi, water pump nayo haiko sawa, pia baadhi ya pipes zinazoonekana zinahitaji kubadilishwa, aina ya engine ni 1JZX.

Pia fundi aliniambia anahisi kuna moja ya piston huenda ikawa na tatizo. Naombeni ushauri pia kama kuna mtu anamfahamu fundi mzuri wa overhaul hapa Dar anitupia namba. Lkn pia ushauri kutoka kwa wataalam
 
Kuoverhaul engine hyo itakugharimu siyo chini ya laki 6 na bado huwezi kuwa na guarantee ya performance ya engine there after. Ushauri jipange ongeza pesa kdg uchukue engine nyingine uweke uendelee kufurahia gari lako
Tatzo sio kununua nyingine ila je una uhakika atapata mpya au hizi used za biko maana anaweza akanunua hiyo unayomshauri mwisho wa siku akarudi kulekule tu. Hapo cha msingi afanye overhaul ila ahakikishe anafunga vipuri original na sio famba
 
Yki overhaul unakuwa na uhakika wa vitu vipya kulikoni kununua used engine ni patapotea kikubwa upate fundi mzuri tu LEGE karibu kwa ushauri
Bro, it is only sensible when you do overhauling on a very expensive engine. Sio engine ya 1.3 au 1.5m (Sijui 1JZ ni how much ila najua 1G ni 1.3m) Ishu kwenye ku overhaul sio kwamba unapata new components, ukitaka kuweka new piston, unachange zote 6 zilizopo, this means engine head and block zinatakiwa zichongwe ili kufit new pistons setup. Sasa ishu ipo hapa kwenye uchongaji. Akikosea hapa kashakuvurgia laki zako 6 ama 7 au nane na vifaa vyako vipya. Sasa ili kuepusha hilo, kama engine inapatikana kwa bei rahisi ni vyema ukanunue.

unaponunua used engine, kuna watu wanafanya testing, unaweza kwenda na fundi ukashuhudia. ukiachilia hilo kuna watu wanakupa warranty ya engine, wengine miezi sita wengine mwaka mmoja kila mmoja na alivoamua.

Nilifanya overhaul ya 1GFE ili kuja kusizi ndani ya siku 2 na wala haikufika 30kms, nilijikuta nimepoteza hela ivi ivi na nkanunue engine nyengine ambayo ni 1.3m, nna miezi zaid ya nane hapa nabadilisha oil na oil filter tu, components nyengine zote zinapiga mzigo.

Ila kama engine yako milioni nne na overhaul laki 6-8 fanya overhaul.
 
Tatzo sio kununua nyingine ila je una uhakika atapata mpya au hizi used za biko maana anaweza akanunua hiyo unayomshauri mwisho wa siku akarudi kulekule tu. Hapo cha msingi afanye overhaul ila ahakikishe anafunga vipuri original na sio famba
Ukinunua engine unapewa na warranty... ikikubumia siku ya pili na kosa si lako unawarudishia tu. Muhimu uwe na risit
 
Bro, it is only sensible when you do overhauling on a very expensive engine. Sio engine ya 1.3 au 1.5m (Sijui 1JZ ni how much ila najua 1G ni 1.3m) Ishu kwenye ku overhaul sio kwamba unapata new components, ukitaka kuweka new piston, unachange zote 6 zilizopo, this means engine head and block zinatakiwa zichongwe ili kufit new pistons setup. Sasa ishu ipo hapa kwenye uchongaji. Akikosea hapa kashakuvurgia laki zako 6 ama 7 au nane na vifaa vyako vipya. Sasa ili kuepusha hilo, kama engine inapatikana kwa bei rahisi ni vyema ukanunue.

unaponunua used engine, kuna watu wanafanya testing, unaweza kwenda na fundi ukashuhudia. ukiachilia hilo kuna watu wanakupa warranty ya engine, wengine miezi sita wengine mwaka mmoja kila mmoja na alivoamua.

Nilifanya overhaul ya 1GFE ili kuja kusizi ndani ya siku 2 na wala haikufika 30kms, nilijikuta nimepoteza hela ivi ivi na nkanunue engine nyengine ambayo ni 1.3m, nna miezi zaid ya nane hapa nabadilisha oil na oil filter tu, components nyengine zote zinapiga mzigo.

Ila kama engine yako milioni nne na overhaul laki 6-8 fanya overhaul.
Samahani mkuu hv engine ya IST 1290 inaweza kuwa sh.ngap?
 
Asanteni wakuu, Naona hapa katika kusoma ushauri wenu, kununua engine nyingine ni bora kuliko overhauling, sababu ya mafundi wetu, ingawa overhauling inasaidia kupata new components ndani ya engine ila pia chochote kikikosewa katika process nzima ya overhaul basi unaweza kujikuta kweli umepoteza.

Naona niendelee kuliweka kwenye utafiti na mawazo niamue je ni overhaul ama ni replace...
 
Siamini sana overhauling ya mafundi wa kibongo,walinifanyia ya gearbox nikaingia gharama kibao na bado ikaendelea kunisumbua mwishoe nikaishia kununua used gearbox ndio ikawa ponya yangu,kwahiyo hata mimi ningekushauri kama alivyoshauri mtu hapo juu,ujichange kununua engine kama hiyo used...
 
Huu ni ukweli mtupu...
 
Asanteni wakuu, Naona hapa katika kusoma ushauri wenu, kununua engine nyingine ni bora kuliko overhauling, sababu ya mafundi wetu, ingawa overhauling inasaidia kupata new components ndani ya engine ila pia chochote kikikosewa katika process nzima ya overhaul basi unaweza kujikuta kweli umepoteza.

Naona niendelee kuliweka kwenye utafiti na mawazo niamue je ni overhaul ama ni replace...

Kuelezwa kote huko bado unataka uendelee na utafiti ? inaelekea wee ni mbishi kama Muhidin Ndolanga na mie nasisitiza nenda na fundi wako pale Ilala mchague Engine safi muifanyie test then ukaifunge ianze kula mzigo na hiyo uliyoitoa unaweza kuikarabati taratibu au ukaifanya spare kijana, tatizo lako watu tulishapitia na wengi wanaokupa ushauri hapa tayari wana experience e.g Chilubi #8 hapo juu kakuelezea kitaalamu sana fata ushauri wake bro hutaumia
 
Nilifanya overhaul ya injini ya 1ZZ-FE, Feb 2018. Tulibadili oil seals, koni na gasket na rings. Changamoto ilitokea ya valve moja kutokuwekwa vizuri na injini ku-misfire. Baada ya muda tatizo likatatuliwa. Hadi sasa hivi performance iko vizuri.
 
ndugu yangu gharama za overhaul kit (full) hazijaachana mbali na bei ya engine ya 1JZ used ...

ushauri nenda kanunue engine nyingine used funga kwenye gari maisha yaendelee
 
Back
Top Bottom