Engagement ring ya million3 anashahili mwanamke aina gani? na ya elfu 90 anasta

kuna pete natamani sana ikae kidoleni kwangu kila nikienda indira ghandhi street kununua baadhi ya ornaments huwa nakumbuka sana.
I wish i wish i will be happiest yaani nitajihisi tofauti loo na ole wako aniambie nichague lazima niichague ile ila akichagua yeye bila kunshirikisha mhhh!!

Ikoje hiyo sasa wewe ndio umeongea mambo nilyokuwa nataka
 
mwanamke huyo uliyemnunulia ya 90,000 ungekuwa na hela za ziada ungeweza kumnunulia ya milioni 3.....unajikuna mkono unapofika

Hivi mfano mdada mrembo kama joketi au wema!! Pete atafurahia pete ya elfu 90 ??
 
hapo inategemea na uwezo wa mnunuaji.na makubaliano yenu na mpz wako.unaweza ukamwamin na kumpenda mtu kwa kiwango cha juu na kumnunulia pete y Mamilion. kumbe ukiondoka tu anavua na kuweka kwenye pochi...thatha thamani yake ikowap..
 
Hivi mfano mdada mrembo kama joketi au wema!! Pete atafurahia pete ya elfu 90 ??

hata asipofurahia kama ndio uwezo wako atafanyaje.....akinuna shauri yake.......BTW kumbe urembo ndio una-determine bei ya pete???nilifikiri uwezo wa mnunuaji......
 
Ni uwezo wa mtu tu,hakuna mwanamke anaestahili expensive ring au wa cheap ring!Ni sawa sawa na kuuliza mwamke gani anastahili mapenzi ya dhati..
Kuvalishwa pete ya uchumba ya bei mbaya sio kigezo cha kudumu kwenye mapenzi/ndoa
 
Thamani ya Mwanamke haipimwi kwa bei ya pete please ! kama unampenda na kumthamini na engagment ni lazima basi hata pete ya mbao itafaa tu
 
Back
Top Bottom