Engagement ring ya million3 anashahili mwanamke aina gani? na ya elfu 90 anasta

Pascal Ndege

JF-Expert Member
Nov 24, 2012
2,977
1,897
Engagement ring ya million3 anashahili mwanamke aina gani? na ya elfu 90 anastahili mwanamke aina gani? Naomba msaaada!!
 
Watcha wee,km unazo mpe why not..tna diamond au tanzanite,utampa moyo wa kukununulia a YATCH o PORSCHE na ye akiwa nazoo
 
MthaminiH kama anavokuthamini wewe,mpe ya m.3 coz ukiwa na ngare anakupa papuchi wala hakupi sabuni! So respect her much
 
Engagement ring ya million3 anashahili mwanamke aina gani? na ya elfu 90 anastahili mwanamke aina gani? Naomba msaaada!!

mwanamke huyo uliyemnunulia ya 90,000 ungekuwa na hela za ziada ungeweza kumnunulia ya milioni 3.....unajikuna mkono unapofika
 
Mpe upendo wa kweli, nunua pete iliyo ndan ya uwezo wake,maana hayo mengine mbwembwe tuu
 
Hizo bei hazitegemei kua unampenda kiasi gani ila ni inategemea uwezo wako
 
Ukiamua kumpenda mwanamke na kuona anastahili kuwa mkeo basi fanya kitu cha kumfurahisha ali mradi tu usivunje bank. Kama una mfuko wa kununua ER ya milioni 3 sioni kwanini usifanye hivyo.

Engagement ring ya million3 anashahili mwanamke aina gani? na ya elfu 90 anastahili mwanamke aina gani? Naomba msaaada!!
 
Last edited by a moderator:
Hata pete hujamvalisha umeshaanza kuweka doubts Mkuu!? Muuamini Mkuu!!! Mbona umemuamini kipindi chote hicho hadi kuamua kumvisha pete!?

Heeh akienda kuuza akadanya kaibiwa!! Ujue mjini shule
 
Hata pete hujamvalisha umeshaanza kuweka doubts Mkuu!? Muuamini Mkuu!!! Mbona umemuamini kipindi chote hicho hadi kuamua kumvisha pete!?

kuna pete natamani sana ikae kidoleni kwangu kila nikienda indira ghandhi street kununua baadhi ya ornaments huwa nakumbuka sana.
I wish i wish i will be happiest yaani nitajihisi tofauti loo na ole wako aniambie nichague lazima niichague ile ila akichagua yeye bila kunshirikisha mhhh!!
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Back
Top Bottom