Pascal Ndege
JF-Expert Member
- Nov 24, 2012
- 2,977
- 1,897
Engagement ring ya million3 anashahili mwanamke aina gani? na ya elfu 90 anastahili mwanamke aina gani? Naomba msaaada!!
Kama unampenda anastahili the best from u
Heeh akienda kuuza akadanya kaibiwa!! Ujue mjini shule

Hata pete hujamvalisha umeshaanza kuweka doubts Mkuu!? Muuamini Mkuu!!! Mbona umemuamini kipindi chote hicho hadi kuamua kumvisha pete!?