Eng Stella Manyanya: CHADEMA Wanahusika na mgomo wa madaktari; amfananisha Ulimboka na Hitler

mmeambiwa na yule AC MSANGI ALIYEMTEKA ULIMBOKA NI CHADEMA?


Mkuu mwenyekiti amembania Mnyika kueleza lakini magamba yanapewa muda hata kama wanatoa vapour tu kwa kweli katiba mpya iweke spika asiekuwa na chama lakini ni heri kwa CDM kwa kuwa wananchi wanaona nini kinaendelea!
 
WE PAK SHUMEK NCHI INHARIBIWA NA VIONGOZI UKIANZIA KWA DHAIFU KIKWETE LIWALO NA LIWE PINDA NA MAPANYA YOOOOTE YA CCM BUNGENI MUNGU ATAWAALANI NDIO MAAN 90% YA WABUNGE WA CCM WANA VVU WANAJUA SIRI ZAO MADOKTOR WATAZITOAQUOTE=Tume ya katiba;4165212]Wadau tumshukuru huyu mama kaweka wazi bila kuficha. Haiwezekani siasa iue wananchi wetu kiasi hiki.[/QUOTE]
 
Huyu mama ni dhaifu sana ,siamini kama kikwete kampa huyu mama ukuu wa mkoa...hope less kabisa ,ccm maji yapo shingoni hamtoki.haki huinua taifa bali dhambi nia aibuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu
 
Mbunge stella amesema wazi chadema wanahusika na migomo ya madaktari, pia amesema mungu amemuepusha ulimboka kwa kupata kipigo maana ni kama hiltler wa tanzania kwa kuendesha migomo yenye kuumiza wananchi. Pia amesisitiza waliompiga ulimboka walikuwa na jezi "magwanda" kama ya chadema.

Tumshukuru huyu mama kwa kubainisha.

Kwa hiyo mkuu tume ya katiba .. kipigo cha ulimboka ni kama movie ilipangwa na cdm...
 
huyu matomato ni chakula cha mkwe........... pili kwani wananchi wameingia mkataba na madkt au serikali? kumbe matomato ameingia katika dili la kumuua ulimboka ili kuepusha mgomo rejea kauli yake bungeni "limemshuka mungu kamuepusha na atapona soon"
 
Mbunge stella amesema wazi chadema wanahusika na migomo ya madaktari, pia amesema mungu amemuepusha ulimboka kwa kupata kipigo maana ni kama hiltler wa tanzania kwa kuendesha migomo yenye kuumiza wananchi

Kwa maelezo ya huyu mama tena kiongozi wa serikali, unaunganisha dots unaona serikali wapo nyuma ya unyama dhidi ya Dr Ulimboka.
Kwa kifupi Stella Manyanya anatuambia Serikali ilimteka Dr Uli iliipate info namna Chadema wanahusika na Mgomo... Kazi kweli kweli... Another silly season


Lengeri
 
Mbunge stella amesema wazi chadema wanahusika na migomo ya madaktari, pia amesema mungu amemuepusha ulimboka kwa kupata kipigo maana ni kama hiltler wa tanzania kwa kuendesha migomo yenye kuumiza wananchi

Duh yani sijui kwanini mmeamua kuacha akili zenu pembeni huu mgomo una miezu saba sasa ndio leo mnatuambia eti chadema ndio wanachochea huu mgomo, hebu boresheni huduma za afya halafu tuone kama hao madaktari watagoma. punguzeni upuuzi kidogo...
 
Huyu mama tatizo lake ni hizi banghi anazovutia chooni ukichanganya na harufu ya mavi matokeo yake ni kuropoka hovyo bila ushahidi kama hv,nyambafu!!!!!
 
Kwa hiyo mkuu tume ya katiba .. kipigo cha ulimboka ni kana

Mkuu njiwa, kwa mujibu wa mama kipigo kile ni neema kwetu na ni kitendo cha kushukuru maana kamfananisha ulimboka na hitler wa tanzania
 
Last edited by a moderator:
Kwa hiyo mkuu tume ya katiba .. kipigo cha ulimboka ni kama movie ilipangwa na cdm...

Mnyika kawajibu kuwa ulimboka kwa mdodmo wake mwenyewe kuwa polisi ndiyo walimteka ikiwemo AC Msangi. CCm wameambiwa kuweli na serikali yao wanahaha kukanusha.
 
Usishangae dada yangu, hawa watu wameamua kuvuruga makusudi
ili wananchi wasijue kinachoendelea kuhusiana na Dr. Ulimboka.
Inavyoonekana huu ni mpango kabambe wa kuwachonganisha
Chadema na wananchi kama walivyofanikiwa kuwachonganisha
madaktari...

Washachelewa bahati Ulimboka bado anapumua so ukweli uko wazi....wananchi hawadangayiki kitoto
 
Hivi Stella Manyanya akikutana na baba mzazi wa Dr Ulimboka anaweza kurudia maneno aliyosema bungeni kwamba mtoto wake (Dr Ulimboka) ni sawa na Hitler?

Ukweli ni vigumu kuamini kama tuna mbunge na mkuu wa mkoa anayeweza kumuita raia anayetetea maslahi yake Hitler! Beyond words!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom