Eng. Stella Manyanya ana maslahi gani kwa wafanyabiashara wa Mafuta?

Jana nilisikitika sana kUmsikia Eng. Stella Manyanya akiwatetea wafanya Biashara ya Mafuta wakati wa Mjadala wa dharura Bungeni kuhusiana na Mgomo wa Hawa wtu. Nikafikiri Ameghafirika, Lakini sasa hivi naangalia kipindi cha Jambo TZ, TBC1, Naona huyu Mama anaendelea kujitahidi kuwatetea hawa wafanya biashara walionifanya hata mimi nishindwe kwenda shamba leo kwani trekta halina mafuta.

Huyu mama anasema ati kuwe na majadiliano, for how loooong!!! Mama cmooon!!!. Huyu mama anamaslahi gani kwa hawa watu???. Wabunge wenzake wote wameoneshwa kuguswa na hili swala, isipokuwa yeye.

Huyu mama anajali zaidi maslahi ya hawa wafanya biashara kuliko well being ya watanzania wakulima kama sisi.

AAAAAAAAAAAAAAGGGGGGGGGGGGGGGHHHHHHHHHHHHHRRRRRRRRRRRRRRRRRR.

Pamoja na kuwa Engineer haijamsaidia. Inawezekana amezoea kuongea na mitambo hawezi kuongea na binadamu?

Stella Manyanya ameshaanza kunenepeana na kuvaa mawigi like the rest of them! She's lost her 'authenticity'.What a tragedy?

Juzi niliandika juu ya mrema na changes yake attitude  ya ghalfla kutoka kwenye kuibana serikali juu ya ubadhirifu na kuhamasisha wananchi haki zao na kwenda kwenye kuitetea serikali kwa nguvu zake zote ilhali hali ya sasa huenda ni ngumu kuliko ile ya wakati ule......na kibaya zaidi kuwakosoa na kuwasimanga watu wanaopigania rasilimali zetu...nikasema ni ajabu sana, tena ni zaid ya ajabu ila kwa haraka haraka tuna haki sisi tuliomwamini kabla na kumfutilia kuamini kuwa amenunuliwa....nini kibadilishe mtazamo wake ghafla? nje ya fedha?

Sasa leo tuna huyu mwana mama ambaye ktk bunge lililopita alijipambanua kuwa mpiganaji na kufa na kupona against ufisadi...alitufikisha mbali zaidi pale alipoamua kujiuzulu nyadhifa zake fulani fulani TANESCO ili awe huru ktk uchunguzi wa richmond.....nilishtuka sana na kughabikika sana kwa staili aliyoanza nayo ktk bunge la 10.....ni kutoa HOJA ZA KUJIPENDEKEZA KWA WATAWALA hata pale ambapo angeweza kukaa kimya....kila akiinuka ujue either anatetea serikali au anaomba mwongozo ili kushambulia wapinzani au yeyote aliye challenge serikali....juzi alisimama kumpa taarifa MhFilikunjombe kwenye bajeti ya uchukuzi pale alipotishia kuandamama, STELLA MANYANYA aliamka nakumwambia  kuwa 'CHAMA CHETU SI CHA MAANDAMANO, TUNA NAMNA YA KUDAI HAKI ZETU! Nilimshangaa sana huyu stela, hivi alidhani Filikunjombe hajui taratibi za ccm za kuwasilisha mawazo? mpaka alifikia hatua ya maandamano maanake alijua kwa taratibu zile asingeweza KUTOA KILIO CHAKE
Stela anadhani maandamano ni sera ya chama fulani......anasahau kuwa ni haki ya kikatiba....huyu naye anajiunga kwenye kundi la kina Mrema, 'WASAKA MATONGE' AU MSAKA TONGE KWA UMOJA

MIX WITH YOURS

Eng. Manyanya ana haki ya kuwatetea si waliwachangia kwenye fedha za kampeni mwaka jana kwa hiyo anayosema katumwa na mwenyekiti wa chama cha mapinduzi.......

...usimshangae pia anaweweseka kupoteza umaarufu wa kisiasa rejea mchango wa Deo Filikunjombe wakati wa bajeti ya wizara ya uchukuzi Filikunjombe aliposema atahamasisha maandamano Ludewa kupinga bajeti hiyo ilyoletwa bungeni na serikali ya CCM lkn Manyanya aliomba mwongozo na akaongea ujinga kabisa eti akumbuke mm ni kiongozi wake katika chama cha magamba na chama chetu hakiaamini katika siasa za maanadamano!

Nilimdharau kwa sababu Filikunjombe aliongea kama mtanzania halisi lkn yye akatoa mwongozo wa kijinga kabisa
huku ludewa sisi tumemdharau kabisa stela manyanya, kwani alipewa pesa na subash patel ili ampinge filikunjombe kwenye nec. Zikamtokea puani. Shame on you, eng manyanya. Hivi unadhani Filikunjombe ni mjinga?

Leadership qualities hazipo kwa huyu. Anatafuta maslahi binafsi. Watu wa namna hii ni kuwaogopa kama ukoma.

Back
Top Bottom