Eng.Nsiande na Majibu ya Tatizo la Nishati ya Umeme - Must Read

But Nsiade kwa TANESCO ingekuwa inakwneda na wakati basi sbababu wnachi wengi wanaitegemea ingeanzisha kitengo cha Solar Installtion Yaani watu wanaotoka kuungaishiwa umeme wanapewa option mbili ya kucgaua. So far UKienda Tanseco hupwei ushauri huu wala hawana kitengo hicho. Why ?

Na je umeona hoja zangu je tanesco hawana contigeny plan. Ttaizo na maji kuungua is natural disaster? i tuna mamlaka ya hali ya hewa. Mbona vitu vingine vinakuwa ama ni vya ghafla?
 
But Nsiade kwa TANESCO ingekuwa inakwneda na waati basi sbabau wnachi wengi wanaitegema ingeanzisha kitengo cha Solar. Installtion Yaani watu wanaotoka kuungaishiwa umeme wanapewa option mbili ya kucgaua. So far UKienda Tanseco hupwei ushauri huu wala hawana kitengo hicho. Why ?
Kimsingi solar ni competitor..ni kama uende TBL wakushauri unywe serengeti my dear Mtazamaji..
 
Asante, Rufiji iliyofanyiwa feasability(sp) study ndio viable project lakini yabidi serikali iamue, uwekezaji wa kuongeza generation unatakiwa uende sambamba na njia kuu ya umeme ( yaani transmission) unapoongeza uzalishaji lazima upanue njia kwani hizi 132KV na 220Kv zinakuwa zimezidiwa
Ahsante tumeshajua kuwa adui yetu ni serikali haifanyi maamuzi kama EL alivyosema!

Pia hakina coordination ktk govt institutions.mfano tanesco na wizara ya ardhi,serikali za mitaa-mipango miji!!ndiyo maana utaona mahali hapajapimwa kwa ajili ya matumizi ya nyumba lakini tanesco wamepeleka service!!!
 
Awwwww....

Umeme unatumika ule unaozalishwa..kwa mfano Mtera ina capacity ya 80MW inazalisha 20Mw pekeeSasa upungufu huu, unafanya loadshedding yaani upunguze mzigo ili ugawe kilichopo, mfano rahisi,Wanaokuwa feeder ya Mbezi ambayo load yake ni 10MW na upungufu wa uzalishaji umetokea unaambiwa ondoa 30MW kwenye gridi, unachofanya ni kuzima feeder ambazo ukijumlisha unatoa hiyo 30Mw sasa ili usiathiri kila mtu, kila mkoa unapangiwa muda na kiasi cha kutoa load..

Nimejaribu kuiweka kingwini kidogo kuonyesha kuwa unapokuwa huna uzalishaji wa kutosha huwezi kuepuka mgao
Asante kwa jibu but mgawo wenu hafuati ratiba kabisa au ratiba haieleweki hapa ndio kero inapokuja!
 
Kimsingi solar ni competitor..ni kama uende TBL wakushauri unywe serengeti my dear Mtazamaji..

I like the way u address issues.So honest!

Lakini my dear..kwani TANESCO wasingeweza ku tap into this natural resource au kuna patent? lol

Nakumbuka kuna kipindi miaka ya nyuma Shell/BP walikuwa wanaumza solar panels....cant TANESCO invest in this aand make some money? Mbona hata H.E power kuna watu binafsi wanazalisha hata kama ni kiwango kidogo.

Samahani kama maswaali yangu hayana matiki ya kiutaalam.
 
SUX BIG TIME!Thanks for the info Engineer.Swali - kwani miaka yote ya uhai wa TANESCOa ina maana hakukuwepo na any strategic plan - with Vision - which is long term? Ina maana mabadiliko ya hali ya hewa yamekuja kama news/surprise kiasi kuwa no contingency plan whatsover/I am angry!
I can feel u Tausi, kuna Power System Master Plan..hii inaonyesha roadmap and is updated yearly..sadly govt don't buy it...Mwanzoni mwa mwaka watu wa hali ya hewa walisema kabisa kutakuwa na upungufu wa mvua...Contingency ni kukodi mitambo ya dharura..

Sasa now the pain...mitambo ya Aggreko ni 55bn inatumia diesel itazalisha 100Mw umeme utauzwa kwa hasara...ndio maana contingecy inasuck up pesa sana na Japan wameikataa wamesema watafanya mgao for 2yrs mpaka hali iwe nzuri...Nikisum up ni jukumu la serikali kuufanyia kazi huo mpango wa umeme short of that we r doomed, miradi hii kuianza ni trillions! Look @ Uganda, Mu7 with all his shams amejenga Bujagali, anatoa subsidy hiyvo bei ya umeme ni affordable though only 5% of his population has it...
 
Nimeshangaa muhando anaposema anasubiri msimamo wa serikali ili kuruhusu uzalishaji wa umeme hata kama kina cha maji kitakakuwa chini.ina maana politicians wanafanya decisions against profesesionals
 
Kimsingi solar ni competitor..ni kama uende TBL wakushauri unywe serengeti my dear Mtazamaji..

Engineeer ndio maan nasema wanafanya kazi kwa model ya zamani. Srengeti wanateneza baadhi ya bia za nje hapa tanzania zenye soko TBL wanatengeneza castle

Sasa ukisema Tannesco haiwezi kuwa na Kitengo cha kusambaza solar ni competitor sikupati. Tanesco should change how it is doing its business Inatakiwa wende na wati na mahitaji.

Nakupa mfano: Unaona mobile phone companies sasa ndio zimekuwa ISP kwa home users, but it not their core business lakini inawezekana ndo inawaingiza mapato kwa sana sasa. Katika maisha ya sasa it doesn't matter who is providing what service.

Huko Ulaya kampuni za energy zinazotumia umeme wa nuclear ndio zina-fund miradi ya wind energy. IF tanesco don't change , with time change will force it to change na itakuwa too late.
 
I like the way u address issues.So honest!

Lakini my dear..kwani TANESCO wasingeweza ku tap into this natural resource au kuna patent? lol

Nakumbuka kuna kipindi miaka ya nyuma Shell/BP walikuwa wanaumza solar panels....cant TANESCO invest in this aand make some money? Mbona hata H.E power kuna watu binafsi wanazalisha hata kama ni kiwango kidogo.

Samahani kama maswaali yangu hayana matiki ya kiutaalam.
Usitie shaka kabisa, kuna watu wanafanya hiyo biashara ya solar, Kwa sasa kuna wazo la kugenerate thru solar huu mradi uko REA kama sikosei,Hivyo itatumika katika generation sio kuuza to housholds
 
Ndugu zangu tembeleeni oysterbay, kule kulipimwa kama makazi, maghorofa yamechipuka yenye zaidi ya 20plus residents wanaotumia umeme haswa...kwa load ya kule na kuchipuka kule ina maana substation zinatakiwa ziongezwe maana transformers zinazidiwa outages zinazidi ukienda kupima load, unastukia sehemu iliyokuwa nyumba moja ni ghorofa 20!

No one regulates these things...kwa wenzetu huruhusiwi kubadilisha residency bila kulipia ongezeko la gharama za umemeKwahiyo sio tu tuongeze uzalishaji, bali usafirishaji( transmission) na usambazaji (distribution )

Haya majumba ya ghorofa Oysterbay si yalipigwa marufuku na Serikali? au ndio Serikali ambayo inashindwa kufuatilia kuona kwamba maamuzi yake yanatekelezwa kama inavyostahili.

https://www.jamiiforums.com/busines...33154-dar-suspends-oysterbay-masaki-plan.html
 
Engineeer ndio maana nasema wanafanya kazi kwa model ya zamani. Srengeti wanateneza baadhi ya bia za nje hapa tanzania zenye soko TBL wanatengeneza castle

Sasa ukisema Tannesco haiwezi kuwa na Kitengo cha kusambaza solar ni competitor sikupati. Tanesco should change how it is doing its business Inatakiwa wende na wati na mahitaji.

Nakupa mfano: Unaona mobile phone companies sasa ndio zimekuwa ISP kwa home users, but it not their core business lakini inawezekana ndo inawaingiza mapato kwa sana sasa. Katika maisha ya sasa it doesn't matter who is providing what service.

Huko Ulaya kampuni za energy zinazotumia umeme wa nuclear ndio zina-fund miradi ya wind energy. IF tanesco don't change , with time change will force it to change na itakuwa too late.
Ni sawa, hata TANESCO wanamarket fibre optic na licence inaletwa from TCRA...hii ni kupitia distibution linesPia na miradi mingine..ila kuuza solar...tayari kuna watu wanauza nadhani pale knyama nimesahau jina...hii biashara ya luku tu Mawenge then Solar...
 
Eng u know waht i mean

Kuna tfauti kampuni XYX ikuza solution ya Solar na TANESCO. watu wengi watatumia Solaar if TANESCO was in that business.

Labda kuna cha kisheria kinawakataza kuingilia soko hilo. Lakini kuna potential ambayo tanesco wakiingia watachota wateja wengi na hata kusaidia watmiaji wa majumbni ki kuunguza matumizi ya umeme wa Hydro. ambao ni wa mafungu

Inaweekana pia ni UFISADI wamepewa mlungula wasiiingilie hilo soko la solar

Othewise may be not for dar na kwenye wilaya siziso na grid ya Taifa hii ya Solar na renewable nergy ndio ingekuwa priority . That is waht i see tanesco should oparate
 
Maisha bora kwa kila mtanzania,yaani Tanesco hadi inatia aibu na kisingizio cha kina cha maji mtera tokea na balehe hadi sasa chorus ni hiyohiyo.
Sasa jamani hapa ndo tushapewa ukweli tujifunge mkanda tuamie kwenye SOLAR ENERGY,sasa wenye kamshahara kama wazo sijui itakua vipi?
 
Sasa wadau kuna mtu anafahamu kampuni nzuri inayotoa service za solar,maana inabidi nijivue gamba tanesco
 
Mambo ya kiwira na NSSF yameishia wapi?....sipendi non-renewables ila coal ndio kimbilio letu,maji na mafuta yametushinda.
 
Phewwwww... Gharama za Solar ya kuendesha kila kitu kwenye nyumba ni zaidi ya Million 4... sasa kwa sisi PANGU PAKAVU TIA MCHUZI itakuwaje?
 
Phewwwww... Gharama za Solar ya kuendesha kila kitu kwenye nyumba ni zaidi ya Million 4... sasa kwa sisi PANGU PAKAVU TIA MCHUZI itakuwaje?

Mkuu sidhani kama ni gharama kubwa kiasi hicho, kama hujafanya utafiti hebu ufanye utafiti wa gharama halisi nakumbuka kuona hapa ukumbini jamaa mmoja alidai kwamba haifiki hata milioni 2 (huyu alikuwa na Music System, TV, Video, jiko, pasi, fridge nadhani na air condition), lakini ilikuwa kipindi kirefu kidogo. Gharama zinavyopanda nchini labda inaweza kufika huko.

Ila tu ukiamua kufunga solar power ni lazima uulize maswali mengi na pia kutafuta kazi ambazo huyo fundi amewahi kuzifanya siku za nyuma ili kuhakikisha anajua anachokifanya asikuunguzie nyumba yako. Maana wako wengine hawajui chochote kuhusu solar power lakini wanaweza wakajifanya wanaifahamu vizuri sana kumbe ni utapeli tu.
 
Nsiande, thanks for your candid admission about our unrehearsed state of affairs as a nation. By the look of it , the situation is even worse than I thought... And like you've put it, we are doomed! A complete blackout in the country is imminent, just a question of where in her many regions it starts from!!!
 
Back
Top Bottom