Eng Mhando voted best East African power Utility CEO

Nsiande

JF-Expert Member
Jul 27, 2009
1,649
872
In the just ended EAPC Forum Uganda , Our very own Eng Mhando has been voted as the best EA CEO for power Utility surpassing fellow Umeme and KLPC CEO's!!
Congratulations Eng Mhando!!

Vigezo vya kumchagua

1. New technologies such as smart meters ( MRI ) no other EA country has those, these meters are 'smart' bcoz they are read from source, disconnected and recconected from source, all large powers users have them up to mid business owners, if you even temper with it a signal is sent immediately describing nature of tempering done e.g door opened etc

2. LUKU roll out...wenzetu bado wako kwenye conversion meters...

3.Different ways to pay bills through banks and third party vendors such as MPesa etc

4. Perfomance Development Programme for Dar & Coast regions

I submit.

Nadhani kuna kipengele kimoja wamekiruka nacho ni power supply distribution maana wenzetu juu ukame unaowakabili hawana makali ya mgao wa umeme kama sie tunaoishi kwa umeme wa MEGAWATT. kila siku kukicha ni hadithi za MAMEGAWATT UMEME HAKUNA!!!!

Yeah much as I hate sayin it,but they should take parameters such as affordabiltiy, access to power, power outages,trippage per feeder and customer satisfactions

The voters are benefitting(sp) from the new technologies employed by TANESCO currently

Indeed besti we have new technology but no electricity unanikumbusha hadithi ya mkuu wa kaya akiisifia e government wakati umeme wenyewe hakuna sasa sijui tutatumia computer za mafuta ya taa.

Isitoshe elimu yenyewe ndio hiyo mgogoro na wenye access ya computer hawazidi asilimia 10 ya population sasa sijui manufaa ya e-government yatatoka wapi.

kwa hizo criteria ni tanesco ndo wangepewa zawadi

mhando ana miezi tu kama ceo
na ishu ya luku ipo zaidi ya miaka 15

na mengineyo ameyakuta

Indeed besti we have new technology but no electricity unanikumbusha hadithi ya mkuu wa kaya akiisifia e government wakati umeme wenyewe hakuna sasa sijui tutatumia computer za mafuta ya taa.

Isitoshe elimu yenyewe ndio hiyo mgogoro na wenye access ya computer hawazidi asilimia 10 ya population sasa sijui manufaa ya e-government yatatoka wapi.

Heheheheh...kweli wacha tu niendelee kuunga hizi fibre angalau umeme mkikosa hata mtandao usitoke...

next time nadhani wataweka kipengele cha power generation and distribuion

Waliostahili zawadi hiyo ni wa TZ kwa kuonyesha kwamba wanaweza kuishi gizani kwa muda mrefu na maisha yakaendelea kama kawa.

Mhe Manamba hii avatar yako imenikumbusha ule mradi wa kuzalisha umeme kwa kutumia mabaki ya mkonge sijui uliishia wapi.

Kwa africa ni sawa kwasababu huwa hatuna muda wa kuchunguza ufanisi wa mtu kama itakiwavyo, kuna mwalimu mbeya vijijini alichaguliwa kuwa mfanyakazi bora na kupewa zawadi wakati ni mtoro na hajafika kituo cha kazi.

Really? Eh um oh! Anyway withought doubt Kenya has the best power mix comprising hydro, wind, geothermal and thermal powet plants.

Mdada Umesahau vigezo vingine:
1. Kuanzisha kampuni na mke wake kwa mtaji wa milioni 10 asubuhi na jioni kampuni inaingiza 900 millioni check ya malipo hayo ikisainiwa na mhando huyo huyo.

2. Kula dili la kuuziwa nguzo kutoka Mufindi Iringa zilizopelekwa mombasa kupigwa mhuri wa South Africa na kurudishwa Tanzania kama zimetoka South Africa
kwa mwendo huu naamini alistahili tuzo mbili au tatu

Yeah much as I hate sayin it,but they should take parameters such as affordabiltiy, access to power, power outages,trippage per feeder and customer satisfactions

The voters are benefitting(sp) from the new technologies employed by TANESCO currently

Hana lolote kazi ilifanywa na Dr Idris Rashid,muda huu ungekuta tunanunua vocha za luku kama vile za simu

stupid idiot indeed!

Tuna wasiwasi pia na mamlaka ya uteuzi inaonekana wana vigezo dhaifu sana.

Haiwezekani CEO akae kwa muda mfupi ofisini halafu atuzwe kwa 'best perfomance'. Mafanikio yote yanayoaungumzwa yamekuwepo kwa mudamrefu.

Angalau hata Rashid Idrissa tungeelewa naye siyo kiviile!

Back
Top Bottom