Eng. Masauni ajitokeza kwenye vyombo vya habari toka ateuliwe kuwa Naibu Waziri wa Fedha, kweli reshuffle imekaribia

Beatrice Kamugisha

JF-Expert Member
May 18, 2019
762
6,980
Mara nyingi ukiona manaibu Waziri waliokuwa wamekaa kimya wanajitokeza na kutoa press Basi nidalili za kuamsha dude wasijeonekana wamepwaya.

Unakumbuka mjadala mkubwa unaoendelea mitandaoni baada ya kuteuliwa kwa mbunge stagomena Tax Ni juu ya mabadiliko ya baraza la Mawaziri.

Kipindi chote Mwigulu amekuwa msemaji mkuu lakini press ya leo amemwachia Masauni, katika Hali kama hii ndipo ulipozaliwa usemi wa madaraka matamu lakini yanapita.

Niwatakie amani ya moyo mnaoumizwa na mabadiliko yanayotegemewa, jitahidini huko muendako mkachape kazi mtaonekana tena
 
Ni zamu yao sasa Visiwani wake wa Makunduchi. Ikipita hii mtasubiri sana maana tutaoiga mara 3 ...ulinzi waoe wao ....fedha wao....mambo ndani wape washindwe wao sagari hii
 
Ila dada mbona hii mada unairudiarudia sana? CCM ni haohao hakuna mpya
 
Back
Top Bottom