Eng.Gervance Lwenge:Nipeni Kura Jimbo la Wanging'ombe ili niwe waziri wa Ujenzi!

Mwamakula

JF-Expert Member
Nov 7, 2010
1,890
382
Wakati wa Kampeni Engineer Gernvance Lwenge alikuwa anawambia wananchi wa Wanging'ombe kuwa wampe kura ili apate kuteuliwa uwaziri ili apate kuteuliwa na Mangufuli kuwa waziri wa ujenzi .

Lwenge aliwahi kufanya kazi Tanroad hivyo alikuwa anatamba kuwa Mangufuli ni rafiki yake sasa Nafasi ya waziri ujenzi hadi sasa ipo wazi Mangufuli anasema hajapata mtu sasa Lwenge amechanganyikiwa

PIX_1__3c83e.JPG

Mgeni rasmi Naibu Waziri wa Wizara ya Ujenzi, Mhandisi Gerson Lwenge, akitoa hotuba ya kufunga Maadhimisho ya Wiki ya Nenda kwa Usalama Barabarani leo yaliyokuwa yakiadhimishwa Kitaifa katika Uwanja wa CCM Kirumba, jijini Mwanza. Wa pili kulia ni Naibu Waziri wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi na Mwenyekiti wa Baraza Usalama Barabarani, Pereira Ame Silima, kulia ni Kamanda wa Polisi Kikosi cha Usalama Barabarani, DCP Mohamed Mpinga. Kauli mbiu ya Maadhimisho ya mwaka huu ni "USALAMA BARABARANI UNAANZA NA MIMI, WEWE NA SISI SOTE". Picha na Felix Mwagara, Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
 
Si pale pamewekwa kiporo, basi tusubiri usikute akaula yeye. Pombe asiwatishe kuwa muda mrefu ndio atateua mtu bora, si mmeona wenyewe barazani kuna kenge tu na watuhumiwa.
 
Lakini wakati akiomba nafasi ya unec alisema mniteue mimi ili kikwete anipe uwaziri wa ujenzi kwani hampendi dr.magufuri.kama hii habari magufuri aliiona hapa jamiiforums nadhani hawezi kumpa kwani inaonyesha ni mnafiki.pia zsijui utendaji kazi waki kama naibu waziri ilikuwa vipi
 
Siku zote tunakatazwa kujikweza;hata maandiko yanasema;"Ajikwezaye atashushwa,ajishushae atakwezwa".Sasa ngoja aumbuke.
 
Eng. Lwenge ni miongoni mwa binadamu wabinafsi, wachoyo na wenye roho mbaya sana! Wafanyakazi wa TANROADS-Dodoma ambako alikuwa meneja ni mashahidi. Anyway simshangai kuwa vile, kama aliweza kuitelekeza hata familia yake; je atamthamini nani tena?

Eng. Lwenge ame-frustrate career ya young engineers wengi waliopangiwa kufanya internship pale TANROADS-Dodoma yeye akiwa meneja.

Eng. Kindole, Eng. Mrs. Mtenga & Eng. Kingole; Mungu awape maisha marefu yenye mafanikio kwa utu wenu mwema.

NB: Hawa mainjinia walikuwa wasaidizi wa Eng. Lwenge pale Dodoma.
 
Back
Top Bottom