mkafrend
JF-Expert Member
- May 12, 2014
- 3,047
- 1,503
CHADEMA WAIBUKA WASHINDI
WanaCCM, napenda kuwataarifu kuwa mahakama ya wilaya kibondo iliyokuwa inasikiliza kesi ya kupinga matokeo ya uchaguzi mkuu wa 2015 iliyofunguliwa na aliyekuwa Waziri wa kilimo chakula na ushirika Eng. Christopher K. Chiza imehitimishwa leo kwa kumpa ushindi mgombea wa CHADEMA KASUKU BILAGO.
Kumbukeni kwamba katika kura za maoni Mhe. Chiza alishinda kwa jasho akivutwa shati na mpinzani wake wa karibu Bw. Msakila Kabende aliyepewa nafasi kubwa iwapo angeshinda kura za maoni.