Eng. Burton A. Bukuku.......

Mphamvu

JF-Expert Member
Jan 28, 2011
10,702
3,288
nakubali sana huyu jamaa kwa michango yake humu JF, ila nikasikitika nilipogundua kuwa amebadili utambulisho wake kutoka 'WABEROYA' ambaye alikuwa maarufu kwa kuwa na misimamo inayoyumba hasa kuhusu siasa za wenye inji. Amekuwa nyoka wa zamani mwenye magamba mapya.
Huu ni uchunguzi binafsi ambao hauna uhusiano na ule wa JB wa JF.
 
Waberoya yule jamaa anayejifanya anataka kuanza jarida lake??
Kwanza mhandisi na siasa wapi na wapi??
 
Kitu gani kilichokushawishi hadi ukaamua kufanya huo utafiti wako?
 
Asee...bukuku kakwambia uiseme ID yake ya zamani?...au name calling siku hizi siio issue?
 
Waberoya yule jamaa anayejifanya anataka kuanza jarida lake??
Kwanza mhandisi na siasa wapi na wapi??

....Prof Mwandosya-Waziri wa Maji, Dr. Shukuru Kawambwa-Waziri wa Elimu, Raila Amolo Odinga-Kenya PM, Mohammed Ahmedinejad-Rais wa Iran, Hugo Chavez-Rais wa Venezuela kwa uchache ni Wahandisi-WanaSiaSa, so hilo pekee haliwezi kuwa tatizo.
 
Asee...bukuku kakwambia uiseme ID yake ya zamani?...au name calling siku hizi siio issue?

no big, wanaposema nemkolingi hawana maana ya kurejea utambulisho wa mtu humu jamvini. ila ni kusema kwa mfano wewe bigirita ni mwajuma bint kazi faki. hlo ndo kosa.
 
....Prof Mwandosya-Waziri wa Maji, Dr. Shukuru Kawambwa-Waziri wa Elimu, Raila Amolo Odinga-Kenya PM, Mohammed Ahmedinejad-Rais wa Iran, Hugo Chavez-Rais wa Venezuela kwa uchache ni Wahandisi-WanaSiaSa, so hilo pekee haliwezi kuwa tatizo.

Herbert Hoover, the United States 31st President, studied mining engineering at Stanford University, graduated in 1895.

Jimmy Carter, the 39th U.S. President , attended Georgia Tech and the United States Naval Academy, from which he graduated in 1946. Carter served in the Navy for 10 years as an engineer working with nuclear-powered submarines

Man is by nature a political animal-Aristotle
 
Engineers make good leaders because they govern a country the way they would govern a steam engine using a closed circuit positive feedback loop.They listen to the people and act accordingly.
 
Herbert Hoover, the United States 31st President, studied mining engineering at Stanford University, graduated in 1895.

Jimmy Carter, the 39th U.S. President , attended Georgia Tech and the United States Naval Academy, from which he graduated in 1946. Carter served in the Navy for 10 years as an engineer working with nuclear-powered submarines

Man is by nature a political animal-Aristotle

siasa na taaluma wapi na wapi? tena kuna wanasiasa ambao hawajasoma hadi kiwango cha kuitwa weledi wa chochote!
 
Back
Top Bottom