Eneo zuri kwa biashara za m-pesa

Brigadia

Member
Nov 8, 2016
44
17
Salama wakuu?
Nina lengo la kuanzisha biashara ya m-pesa, tgo pesa, na huduma nyingine za aina hii.
Changamoto yangu kubwa ni kwamba sijajua eneo gani linafaa zaid kwa biashara hii hapa Dar.

Kama kuna yeyote mwenye uzoefu ha hii biashara naomba anishauri ni eneo gani linafaa zaidi kwa biashara ya namna hii. Na je nitafata taratibu gani kupata sehemu ya kueka kakibanda kangu katika eneo hilo.

Msaada wako wa mawazo na ushauri utakuwa na mchango mkubwa sana kwangu na nitakushukuru sana.

Nawasilisha.
 
fanya hivi kwenye maisha yako kabla ya kufanya jambo lolote jiulize kwanini tano muhimu ambazo hizo zitakupa muongozo kwa kila kitu unachataka kufanya ,
 
Back
Top Bottom