House4Sale Eneo linauzwa

Yassin Khalid

Member
Jul 8, 2016
42
9
Eneo SQM 575 linauzwa Kata ya Miburani, mtaa wa keko machungwa (lina nyumba), panafaa kwa makazi gari inafika mpaka mlangoni, document yake ipo bei ni mil 75 maongezi yapo
Kwa maelezo zaidi
0622007272

Mniwie radhi thread ya mwanzo ilikuwa na makosa
 

Attachments

  • 20160302_132137.jpg
    20160302_132137.jpg
    92.5 KB · Views: 52
  • 20160302_132049.jpg
    20160302_132049.jpg
    96.3 KB · Views: 42
  • 20160302_132052.jpg
    20160302_132052.jpg
    101.6 KB · Views: 45
can those slums count for 75 million tshs? acha kutania, anyway ngoja matajiri wakuje
 
kama hiyo 75m ni kununua vinyumba vyooote hivyo, nafikiri inaleta sense. mimi nilijua kuna kijumba kimoja tu hapo ndo anauza hela hiyo.
 
kama hiyo 75m ni kununua vinyumba vyooote hivyo, nafikiri inaleta sense. mimi nilijua kuna kijumba kimoja tu hapo ndo anauza hela hiyo.
Ni pakubwa sana mkuu hivyo vinyumba vyote vipo ndani ya eneo linalouzwa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom