Eneo linauzwa lipo Visiga

ngogo

JF-Expert Member
Oct 19, 2012
359
54
Ukubwa ni heka 5, umbali ni mita 500 kutoka Morogoro road, maeneo ya Visiga madafu, bei ni 125m.umeme upo pamoja na maji, ni zuri kwa yadi, godaun, nk. simu 0764434673.
 
Sasa wewe mbona details ni nusunusu kana kwamba umelazimishwa na changudoa kuuza?
Visiga iko wapi?
Kuna mazao gani?
Lina hati etc..................
 
Visiga ipo Kibaha shamba lina hati, you need more details mkuu?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom