ENEO LINAUZWA 20 kwa 20 bei 6 milion haishuki.

Mcgregor

Member
May 3, 2013
79
5
lipo mbezijuu unashuka tankibovu dakika ishirini mpaka kwenye eneo, maji yapo umeme upo lipo kwenye makazi ya watu aliyesirious anitumie sms 0689315582, bei haishuki hata kidogo.
 
lipo mbezijuu unashuka tankibovu dakika ishirini mpaka kwenye eneo, maji yapo umeme upo lipo kwenye makazi ya watu aliyesirious anitumie sms 0689315582, bei haishuki hata kidogo.

Dakika za kutembea zinategemea kama mtu unatembea haraka au polepole hivyo zinaweza kubadilika, kwanini usiweke vipimo vya kilometre ambavyo havibadiliki??
 
Hayo ni maeneo poa si unaiona Darisalama yote mkuu ,pamoja na bahari ya Hindi
 
Mbezi juu huwezi kuta eneo la 20x20 kwa million 6 labda liwe jirani sana na bonde la mto mbezi jirani na gold star au labda vile viwanja nyuma ya kituo cha uoga kama unaenda goba ambavyo vinamgogoro miaka nenda rudi. goba sasa hivi kiwanja cha hivyo upati chini 10m labda kiwe uswekeni sana.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom