Eneo lile lile: 1998 Magaidi walilipua ubalozi wa Marekani wananchi wakakimbilia kushuhudia leo kaibuka Hamza watu wamekimbia!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,840
141,761
Haya ni maendeleo makubwa kwa wananchi kuanza kuelewa maana ya hatari na kuikimbia badala ya kuikimbilia.

Mwaka 1998 ulipolipuliwa ubalozi wa Marekani eneo hilo hilo alilokuwa anatamba Hamza jana wananchi kutoka maeneo ya jirani walikuwa wanakimbilia eneo la tukio kadri milipuko ilipoongezeka ili kushuhudia kwa macho yao.

Jana ilikuwa tofauti maana hata madereva waliacha magari yao na kukimbilia kusikojulikana.

Labda ni kwa sababu ya teknolojia.

Mungu ni mwema wakati wote!
 
Mkuu unaona raha kuanzisha thread? Huwa huoni hata aibu? Au kuna malipo unayapata kwa kuanzisha thread?
 
Pale alipolala Hamza picha inaonyesha Ubalozi wa Ufaransa mbele. Picha ingechukuliwa upande wa pili wa barabara ingeonyesha Ubalozi wa Marekani( wa zamani). Kwa hiyo ugaidi umetokea sehemu moja mara mbili. Yaani wewe ungekuwa umesimama pale alipolala Hamza siku ya Agosti saba,ungekufa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom