hekimanyingi
JF-Expert Member
- Jul 12, 2013
- 679
- 573
Tatizo maendeleo waliyonayo watu wa moshi yanawatoa povu sana ndo maana zinatolewa sababu za mbayuwayu. Hushangai kwanini hata uwanja wa ndege wa KIA hautajwi tena kwenye mpango wa kuimarisha viwanja vikubwa? Sasa hivi wanakwambia ni JNIA, Mwanza na Dodoma ila KIA nooo... Hahaha dah!Hoja dhaifu Sana ebu mniambie jiji la Helsinki Ina km ngapi au jiji la Mbabane. Sometimes uregionalism unatu cost .