mdudu
JF-Expert Member
- Feb 6, 2014
- 7,002
- 9,986
Ndugu wana jamvi salaam kwenu
RC, DC, afisa afya mkoa na wilaya ,licha ya jitihada za Rais Magufuli kuhimiza usafi, lakini uongozi wa mkoa wa Tabora,umeshindwa kusimamia zoezi la usafi, kitu cha kushangaza maafisa afya mkoa na wilaya kazi zao wanafanyia wapi au wako likizo? Jalibuni kutembelea Choo cha kulipia stand, nyuma ya Loliondo bar,nyuma ya SAFI Grocery ni pachafu na niaibu kwa taswila ya mji ,na kunaweza kutokea mlipuko wa magonjwa, Kama uongozi wa mkoa wameshindwa,serikali iingilie kati kupitia wizara inayohusika na usafi,
Nawasilisha.