Eneo la Oyster Bay Police kuwa jiji la kisasa angalia renders

ESAM

JF-Expert Member
Mar 15, 2011
1,164
548
Hivi ndivyo eneo la Oyster Bay polisi ya sasa litakavyoonekana baada ya uendelezaji kukamilika, sijui mwaka gani. Haya tusubiri tuone.

Dar-1.jpg

Dar-2.jpg

Dar-3.jpg

Dar-4.jpg

Dar-5.jpg
 
Chini ya mafisadi ccm hakuna cha maana tanzani

nchi itakuwa ya maana pale ccm itakapokuwa marehemu
 
Chini ya mafisadi ccm hakuna cha maana tanzani

nchi itakuwa ya maana pale ccm itakapokuwa marehemu

Mtaishia kuangalia picha tu chin ya utawala wa Chama Cha Mafisadi.

Ugueni pole , hv mpo mikoa gani? Mara yenu ya mwisho kufika Dar Es Salaam ni mwaka gani? Maeneo mengine yamemalizika , mengine yapo katikati , Hii siasa hii hatari sana , Uko tayari kupindisha ukweli
 
Back
Top Bottom