g vizy
JF-Expert Member
- Jan 5, 2016
- 896
- 977
Ni eneo la muhimu sana la kudhibiti utumiaji kwenye utoaji wa pesa ambazo wakati mwingine unakuta hakuna ulazima wa wewe kufanya hivyo kwa sababu ya kukuza nidhamu yako ya uwekaji wa kipato chako kwa ajili ya kesho yako
Swali ni je linapokuja swala la kutoa fedha kama mtu anakuomba na unafahamu kabisa siwezi kujinyima na mtu amekulilia uwenda ni rafiki,mama mzazi,baba mzazi au ndugu wa kawaida kua anashida anaomba umsaidie na wewe fedha unayo ila unasita kumpa kwa kuofia uwenda nidham yako ya kutunza fedha itapungua uwa unafanyaje kuendelea kua katika nidhamu yako ile ile