Plot4Sale Tunauza Nyumba, Viwanja na Mashamba. Tupo Dar

NAREI

JF-Expert Member
Mar 10, 2017
1,730
1,648
Kiwanja kinapatikana KITUNDA (mwisho)
Umbali wa km 3.5 kutoka pugu road
Umbali kutoka kitunda road (lami) meter 200
Unaweza kufanya project tofauti kulingana na Eneo na uhitaji wako.
Mfano. ( kujenga ukumbi, apartments, hotel/Lodge n.k)
Kiwanja kina hati (leseni) ya makazi
Bei: 40m















View attachment 1241122
IMG_20191022_175124.jpeg
IMG_20191022_155426.jpeg
IMG_20191022_175129.jpeg
IMG_20190928_102213.jpeg
IMG_20190928_102042.jpeg
 
Kiwanja kinapatikana KITUNDA, Kivule
Kutoka barabara mpya ya lami inayojengwa ni meter 500
Kutoka nyerere road (banana) ni km 6
Kutoka KITUNDA mwisho ni km 3
Ukubwa wa kiwanja ni meter 25*20 (sqm 500)
Huduma muhimu zinapatikana
#barabara, maji na umeme
KIWANJA chote ni tambarare
Njia ya gari inafika mpaka kwenye KIWANJA.
BEI: 4.5

tapatalk_1573469148340.jpeg
tapatalk_1573469143462.jpeg
tapatalk_1573469145928.jpeg
tapatalk_1573469136948.jpeg
 
Kiwanja kinapatikana KITUNDA, Kivule
Kutoka barabara mpya ya lami inayojengwa ni meter 500
Kutoka nyerere road (banana) ni km 6
Kutoka KITUNDA mwisho ni km 3
Ukubwa wa kiwanja ni meter 25*20 (sqm 500)
Huduma muhimu zinapatikana
#barabara, maji na umeme
KIWANJA chote ni tambarare
Njia ya gari inafika mpaka kwenye KIWANJA.
BEI: 4.5M
mawasiliano: 0785 857564

View attachment 1260402View attachment 1260403View attachment 1260404View attachment 1260405
Weka picha kamili, sio nusunusu kama ulivyofanya
 
Kiwanja kinapatikana Kivule mmbondole.
Kutoka banana ni 14km
Kiwanja ni cha pili kutoka barabara ya mtaa.
Ukubwa wa kiwanja ni miguu (meter) 20*20 = sqm 400
Ndani ya kiwanja kuna nyumba ya chumba kimoja.
Bei 3.5m








Screenshot_2019-11-24-17-11-29.jpeg
Screenshot_2019-11-24-17-11-54.jpeg
Screenshot_2019-11-24-17-12-23.jpeg
 
Dar viwanja na nyumba hazina thamani tena,Serikali imeshamia dodoma ngoja tuone uko dodoma jinsi viwanja vitakapokuwa na gharama zaidi ya dar
 
Kiwanja kinapatikana TEGETA Wazo. Meter 600 (km 0.6) kutoka Madale road
Kiwanja kina ukubwa wa sqm 1015 Kipo tambarare na kipo kwenye mtaa mzuri.
Huduma muhimu za kijamii zimeshafika

(Maji, umeme na barabara)
Bei: 30m






IMG-20191224-WA0036.jpeg
IMG-20191224-WA0034.jpeg
IMG-20191224-WA0030.jpeg
IMG-20191224-WA0027.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Banda linapatikana kwenye stand ya banana. (Upande wa kulia ukielekea airport)
Banda lina ukubwa wa feet 6 kwa 6 (meter 2 Kwa meter 2)
Banda linauzwa pamoja na eneo lilipojengelewa (lilipowekwa)
Eneo/banda linafaa kwa biashara yeyote ile kulingana na mzunguko wa watu uliopo eneo hilo.
Bei: 1.6m


IMG_20191231_154311.jpeg
IMG_20191231_154308.jpeg
IMG_20191231_154237.jpeg
IMG_20191231_154241.jpeg
IMG_20191231_154234.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom