Eneo la bonde linauzwa

  • Thread starter Kwetu farm solutions
  • Start date

Kwetu farm solutions

Kwetu farm solutions

Member
Joined
Oct 26, 2016
Messages
47
Points
95
Kwetu farm solutions

Kwetu farm solutions

Member
Joined Oct 26, 2016
47 95
Habari za asubuhi wakuu?
Sisi ni wajenzi wa mabwawa ya samaki na mabanda ya kuku, kutokana na hilo, huwa tunao watu ambao hutufuata wakihitaji kuuza maeneo ya kufugia kuku au samaki.
Leo hii, tunae mkazi wa Kigamboni anaeuza eneo linalofaa kwa ufugaji wa samaki na kipindi fulani cha mwaka,samaki aina ya Sato wakubwa hupatikana katika maeneo lilipo hilo eneo kwa wingi sana. Ni Sato waliomwagwa zamani na watu wasiofahamika na kuzaliana kwa wingi.
Ni sehemu ambayo haihitaji gharama katika ujenzi wa bwawa na ni mbichi kipindi chote cha mwaka.
Eneo lipo Kigamboni Sokomaziwa Minazini.
Ukubwa wake ni mita 27 kwa 27.
Bei yake ni milioni 5 na mnunuzi anaweza kulipia kwa awamu maana muuzaji ana shida.
Pamoja na ufugaji wa samaki, eneo hilo linafaa pia kwa kilimo cha mboga mboga.
Wenye kulihitaji eneo hilo, wanaweza kupiga: 0746060789 kwa ajili ya kuja kuliona pamoja manunuzi.
Endapo pia watahitaji kuchimbiwa bwawa, sisi wenyewe tutawasaidia kulifanya hilo kwa gharama nafuu sana.
Karibuni.
 

Forum statistics

Threads 1,283,910
Members 493,869
Posts 30,805,818
Top