Kijichi ya Mtoni au Mbagala kuu?
Huu mji kila sehemu ni hatarishi bora hata hapo panaonekana.Kuna sehemu utadhani njia yakwenda samunge mf pale posta kama unaingia njia ya haidary plaza umetokea hotel ya holiday Inn mzinga wa mshimo kimo cha mbuzi.
Kijichi ndio kinini? wataalam wa Kiswahili hebu nijuzeni
Huu mji kila sehemu ni hatarishi bora hata hapo panaonekana.Kuna sehemu utadhani njia yakwenda samunge mf pale posta kama unaingia njia ya haidary plaza umetokea hotel ya holiday Inn mzinga wa mshimo kimo cha mbuzi.
tooth pick ni kijiti ambacho kwa kiswahili sanifu ni kimbaka
[/COLOR][/B]ingia TUKI mkuu nimetoka sasa hivi, kimbaka ni kiswahili sanifu