Eneo karibu linalopakana na barabara ya Morogoro maeneo ya Kibaha kama heka 3 linahitajika

Mchana

Senior Member
Sep 27, 2007
183
16
Wakuu linatafutwa eneo linalopakana na barabara ya Morogoro eneo la Kibaha lenye ukubwa wa heka 3 au zaidi kwa ajili ya kufungua yard. Tafadhali kama kuna mtu anafahamu upatikanaji wake atupie details au mawasiliano hapa.
Natanguliza Shukrani
 
Back
Top Bottom