Endeleeni kutekwa ili mkumbushwe kuwa dola ipo haijalala na inafanya kazi

K Mwita

JF-Expert Member
Oct 11, 2016
356
314
Watanzania tulibweteka sana aisee. Yaaanu unakuta Serikali unaitukana, unaichezea na kiushika sharubu kama vile ni ya babu zako, kweli? Gharama inayotumika kuwalinda mnaijua kweli? Serikali hususan kiti cha rais kina heshima yake na sio nafasi ya kukejeliwa kwa matusi ya hadharani. Au ndio wale akina bendera fuata upepo wakikupeleka huku na kule wewe unaenda tu.

Endeleeni kutekwa ili mkumbuke kuwa dola ipo na inafanya kazi.

Nimemaliza.....!!!!!!
 
Mahakama zina kazi gani sasa, kama unaamini kuteka ndio kumnyoosha MTU........ikiwa Serikali inaona imetukanwa imkamate mtoa matusi afikishwe mbele ya haki, sheria ifuate mkondo wake........
 
Watanzania tulibweteka sana aisee. Yaaanu unakuta Serikali unaitukana, unaichezea na kiushika sharubu kama vile ni ya babu zako, kweli? Gharama inayotumika kuwalinda mnaijua kweli? Au ndio wale akina bendera fuata upepo wakikupeleka huku na kule wewe unaenda tu.

Endeleeni kutekwa ili mkumbuke kuwa dola ipo na inafanya kazi.

Nimemaliza.....!!!!!!
Ndio umeandika nini?
 
Hivyo unauthibitishia umma kuwa wanaoteka na kutesa watu ni serikali, haya tumekusikia.
 
Watanzania tulibweteka sana aisee. Yaaanu unakuta Serikali unaitukana, unaichezea na kiushika sharubu kama vile ni ya babu zako, kweli? Gharama inayotumika kuwalinda mnaijua kweli? Au ndio wale akina bendera fuata upepo wakikupeleka huku na kule wewe unaenda tu.

Endeleeni kutekwa ili mkumbuke kuwa dola ipo na inafanya kazi.

Nimemaliza.....!!!!!!

Acha kujipendekeza wewe kibwenye!Hiyo ghalama inayotumika kutulinda tunalindwa dhidi ya nani na ni nani anayetoa hizo ghalama?Hebu orodhesha hapa hayo matusi waliyotukanwa hao unaowaita viongozi.

Serikali haina sababu ya kuomba ipongezwe na kusifiwa,itapongezwa kwa matendo yake na itakosolewa kwa matendo yake.Kuuita ukosoaji dhidi ya serikali kuwa ni matusi ni matumizi ya chini ya fikra,ni zaidi ya upumbavu wa kiwango cha PhD ya maganda ya korosho.
 
Hivi fisiemu bado wana wafuasi?
Mana huku napo kaa ukijulikana ni fisiemu aisee hata rafiki mmoja hupati. Kwani fisiemu wamekosea wapi mana hata wale waliokuwa mabendera wao sasa wamepata akili na kujitambua japo bado wachache
 
Watanzania tulibweteka sana aisee. Yaaanu unakuta Serikali unaitukana, unaichezea na kiushika sharubu kama vile ni ya babu zako, kweli? Gharama inayotumika kuwalinda mnaijua kweli? Au ndio wale akina bendera fuata upepo wakikupeleka huku na kule wewe unaenda tu.

Endeleeni kutekwa ili mkumbuke kuwa dola ipo na inafanya kazi.

Nimemaliza.....!!!!!!
Gharama nalipa mimi, serikali inafanya biashara gani hata inihudumie bure. Serikali lazima ikosolewe, hayo mazuri yanayo fanywa na serikali ni wajibu wake na si hisani. (Kuna baadhi ya jamii ambazo wanawake huamini kupigwa na mmeo ni ishara ya upendo na wengi pia wanaamini kuwa polisi akija kukukamata lazima akupige pia, je, na wewe ni miongoni mwa wanao amini hivyo.)
 
Watanzania tulibweteka sana aisee. Yaaanu unakuta Serikali unaitukana, unaichezea na kiushika sharubu kama vile ni ya babu zako, kweli? Gharama inayotumika kuwalinda mnaijua kweli? Au ndio wale akina bendera fuata upepo wakikupeleka huku na kule wewe unaenda tu.

Endeleeni kutekwa ili mkumbuke kuwa dola ipo na inafanya kazi.

Nimemaliza.....!!!!!!
Kwani unalindwa bure Kwa gharama za serikali au kwa kodi yako? Kuteka watu sio suruhisho, kwani mahakama zina kazi gani?
 
Watanzania tulibweteka sana aisee. Yaaanu unakuta Serikali unaitukana, unaichezea na kiushika sharubu kama vile ni ya babu zako, kweli? Gharama inayotumika kuwalinda mnaijua kweli? Serikali hususan kiti cha rais kina heshima yake na sio nafasi ya kukejeliwa kwa matusi ya hadharani. Au ndio wale akina bendera fuata upepo wakikupeleka huku na kule wewe unaenda tu.

Endeleeni kutekwa ili mkumbuke kuwa dola ipo na inafanya kazi.

Nimemaliza.....!!!!!!
mkuu, yakija tokea ya marehemu Karume msije mkaanza kulialia tena. tuombe Mungu yasitokee lakini....
 
Watanzania tulibweteka sana aisee. Yaaanu unakuta Serikali unaitukana, unaichezea na kiushika sharubu kama vile ni ya babu zako, kweli? Gharama inayotumika kuwalinda mnaijua kweli? Serikali hususan kiti cha rais kina heshima yake na sio nafasi ya kukejeliwa kwa matusi ya hadharani. Au ndio wale akina bendera fuata upepo wakikupeleka huku na kule wewe unaenda tu.

Endeleeni kutekwa ili mkumbuke kuwa dola ipo na inafanya kazi.

Nimemaliza.....!!!!!!
Akitekwa ndugu yako ndio utakumbuka kama dola IPO au shilling ndio IPO....
 
Watanzania tulibweteka sana aisee. Yaaanu unakuta Serikali unaitukana, unaichezea na kiushika sharubu kama vile ni ya babu zako, kweli? Gharama inayotumika kuwalinda mnaijua kweli? Serikali hususan kiti cha rais kina heshima yake na sio nafasi ya kukejeliwa kwa matusi ya hadharani. Au ndio wale akina bendera fuata upepo wakikupeleka huku na kule wewe unaenda tu.

Endeleeni kutekwa ili mkumbuke kuwa dola ipo na inafanya kazi.

Nimemaliza.....!!!!!!
Hivi kwa akili yako ndogo unadhani gharama za kuiendesha serikali yoyote zinatoka mfukoni kwa watawala?nimeamini kuwa baadhi ya watanzania bado tupo gizani sana
 
Watanzania tulibweteka sana aisee. Yaaanu unakuta Serikali unaitukana, unaichezea na kiushika sharubu kama vile ni ya babu zako, kweli? Gharama inayotumika kuwalinda mnaijua kweli? Serikali hususan kiti cha rais kina heshima yake na sio nafasi ya kukejeliwa kwa matusi ya hadharani. Au ndio wale akina bendera fuata upepo wakikupeleka huku na kule wewe unaenda tu.

Endeleeni kutekwa ili mkumbuke kuwa dola ipo na inafanya kazi.

Nimemaliza.....!!!!!!
Sikulaumu sana maana ndio umejiunga kuongelea hilo unalo lishabikia
 
Back
Top Bottom