Endapo unatatizo ambalo unaona linakuhusu na unaona ugumu kujiweka kama wewe ndio mhusika nakushauri fanya hivi

Jumanne Mwita

JF-Expert Member
Nov 18, 2014
406
1,029
"Sometimes njia rahisi ya kupata solution ya tatizo linakukabili ,wewe li- address public na ujifanye sio tatizo lako ni tatizo la mtu wako wa karibu, utapata majibu positive sana tofauti na uki address kama tatizo lako".
 
Inabidi uwe mjanja sasa mtu anakuwa deep na information za chini chini kabisa anamuelezea rafiki yake anataja mpaka rangi ya chupi aliyovaa siku hiyo tutamstukia tu kuwa ni yeye.
 
"Sometimes njia rahisi ya kupata solution ya tatizo linakukabili ,wewe li- address public na ujifanye sio tatizo lako ni tatizo la mtu wako wa karibu, utapata majibu positive sana tofauti na uki address kama tatizo lako".
Omonto weito.. niyake mura
 
Back
Top Bottom