Endapo nikaziona Video za Diamond akijiunga freemason, sitashabikia mziki wake tena

Kujua kwamba jay z ni illuminat hauhitaji kuwa illuminat ukiona symbols wanazopotray kwenye video zao unajua....same to bwana nasibu..anavyoonesha vidole vitatu ile sio swaga ni order inabidi afanye vile ndo ..alama ya vidole vitatu ndo inatumika sana sasa hivi..angalia pia video ya drunk in love ya beyonce na jay z utaona...
Mi nawashangaa eti kajuaje!
Yaani watu hawana ufahamu kabisa !
Wakati sshv ht hawajifichi na symbols zao wako free kabisa!
 
umeshindwa kuacha kusikiliza nyimbo za kina jay z,beyonce,lil wayne,sijui nicki minaj n.k ambao ni freemason waliokubuhu eti leo unataka uache kusikiliza nyimbo za diamond kisa mtu fulani kasema...akili za kuambiwa..........
Kwani kasema usimsikilize?
Sijaona kaongea hivyo! Yy alikuwa anaongea na familia yake wengine hayawahusu!

Btw wote uliowataja ni chama moja ,tofauti ni levels tu,so usikilize au usisikilize ni ww tu mkuu,lkn hiyo haiondoi ukweli kuwa dai ni mason tangu zamani inajulikana
 
Ila Soon,Gwajima tunakushitaki...utalipa pesa nyingi sana!we jichanganye tu ujifanye unajua sana kuchamba

Ukijua hili wenzio wanajua lile
Utamshtaki ww... maana uwezo unao. usiseme tuta ... isemee nafsi yako mwenyewe
 
Kwani kasema usimsikilize?
Sijaona kaongea hivyo! Yy alikuwa anaongea na familia yake wengine hayawahusu!

Btw wote uliowataja ni chama moja ,tofauti ni levels tu,so usikilize au usisikilize ni ww tu mkuu,lkn hiyo haiondoi ukweli kuwa dai ni mason tangu zamani inajulikana


Kwani wewe upo kwenye topic hii au nyingine? Soma tittle hapo juu, ana maana hawezi kumshabikia Diamond kama akigundua ni Freemason. Geez!
 
Akili ndogo ni mtaji wa matapeli! Jamaa anajua kucheza na akili za wabongo kwani anajua zinapoanzia na zinapokomea!
hahahahahhahhaha sasa kweli hata watu hawajiongezi!
kachukua 1 kajumlisha 1 imepatikana 2,watu eehehehhehehehehhehhe wkati jibu wanalijua!
yani like srious ushahidi pekee kuwa naseeb ni freemason ni wema kutokuzaa!hahahahaha hata mimi ningeunganisha odtes hivyo! hivyo!
 
Na leo watu walifurika kusikia akimchambua Diamond.....Duh Watanzania sijui uwezo wetu wa kufikiri unaishia wapi.
HAHAHAHAHHAHHAA yani wakakaa kabisa wanasikiliza kitu wnachokijua miaka yote!

kuhusu freemason naseeb kaanza kusemwa leo?
kuhuu wema kutokuzaa kunahusiana nini?
WAKASAHAU NI WAO WAPO WALIOKUWA WANAMPONGEZA KWA KUWA NA MIMBA YA WIKI TATU YA MAPACHA WA KIUME NA WA KIKE WA IDRIS!
MWEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE!
 
Gwajima Shilawadu yule. Na wafuasi wa kanisa lake wote ni wapenda umbea wenyewe wanaita Ubuyu
 
Gwajima Kiukweli Kawashika akili wajinga du!!
Hivi utamjuaje Frmsn wewe ukiwa si frmsn!!

Huu uhuni Ni wapuuzi utawaingia akilini
Gwajima mwenyewe ni free mamson, ila watu hawajui, watu wanadhani yupo pale kanisani kwa ajili ya Mungu. ila uzuri wafuasi wake hawana makosa maana hawajui. Gwajima hana Muda wa kukakaa membary kumuongelea Mungu, bali watu binafsi, hata kuongelea jamii. Leo Diamond asingemtaja kwenye wimbo wake pamoja na ufree mamson wake, ingebaki siri yake ila sababu tu ametajwa. Mtu wa wamungu hangoji akosewe ndipo akemee maovu ya mtu, Watanzania tufumbue macho, Gwajima sio wa Mungu bali ni washetani, anaepitia mlango wa Mungu kujinufaisha, huyu ni free mamson mkubwa tu.
 
Back
Top Bottom