Endapo Mbowe atachaguliwa tena basi atakuwa ni kiongozi wa pili kwa kupendwa barani Afrika akitanguliwa na Robert Mugabe wa Zimbabwe

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,616
141,447
Mwanasiasa mkongwe mzee Mgaya ananihabarisha kuwa endapo Freeman Mbowe atachaguliwa tena kuiongoza Chadema basi atakuwa ni kiongozi wa pili Afrika anayependwa " sana" ndani ya chama chake.

Kiongozi anayemzidi Mbowe ni Robert Mugabe rip wa Zimbabwe lakini Mbowe kutokana na umri wake ana fursa ya kuvunja rekodi hiyo ya Mugabe na Zanu PF, amesisitiza mzee Mgaya.

Maendeleo hayana vyama!
 
kweli hayana vyama ndio maana mbowe kainuliwa na Bavicha 10,000 wamchangie fedha za kuchukulia fomu
 
Mwanasiasa mkongwe mzee Mgaya ananihabarisha kuwa endapo Freeman Mbowe atachaguliwa tena kuiongoza Chadema basi atakuwa ni kiongozi wa pili Afrika anayependwa " sana" ndani ya chama chake.

Kiongozi anayemzidi Mbowe ni Robert Mugabe rip wa Zimbabwe lakini Mbowe kutokana na umri wake ana fursa ya kuvunja rekodi hiyo ya Mugabe na Zanu PF, amesisitiza mzee Mgaya.

Maendeleo hayana vyama!
Hongera sana Mwenyekiti Mbowe. Kuwekwa kapu moja na Nguli wa Afrika sio jambo dogo! Hongera sana!
 
Mwanasiasa mkongwe mzee Mgaya ananihabarisha kuwa endapo Freeman Mbowe atachaguliwa tena kuiongoza Chadema basi atakuwa ni kiongozi wa pili Afrika anayependwa " sana" ndani ya chama chake.

Kiongozi anayemzidi Mbowe ni Robert Mugabe rip wa Zimbabwe lakini Mbowe kutokana na umri wake ana fursa ya kuvunja rekodi hiyo ya Mugabe na Zanu PF, amesisitiza mzee Mgaya.

Maendeleo hayana vyama!
Huyo mgaya ni nani hadi umnukuu?
 
Chadema wangeshinda 2005 wangebadilisha katiba Rais asiwe na kikomo cha kugombea
 
Kwahiyo kumbe jamaa yeye malengo yake ni kuvunja rekodi ya Mugabe ??
 
Mwanasiasa mkongwe mzee Mgaya ananihabarisha kuwa endapo Freeman Mbowe atachaguliwa tena kuiongoza Chadema basi atakuwa ni kiongozi wa pili Afrika anayependwa " sana" ndani ya chama chake.

Kiongozi anayemzidi Mbowe ni Robert Mugabe rip wa Zimbabwe lakini Mbowe kutokana na umri wake ana fursa ya kuvunja rekodi hiyo ya Mugabe na Zanu PF, amesisitiza mzee Mgaya.

Maendeleo hayana vyama!
Hivi unatumia vigezo gani ..........??

Kama ni muda wa kuongoza mbona wapo wengi tu zaidi yake. Ndani ya nchi kuna akina Nyerere, Cheyo (Mzee wa mapesa). Nje kuna akina Moi, Mseveni, Kagame na wengine huko North na West Africa.
 
Mwanasiasa mkongwe mzee Mgaya ananihabarisha kuwa endapo Freeman Mbowe atachaguliwa tena kuiongoza Chadema basi atakuwa ni kiongozi wa pili Afrika anayependwa " sana" ndani ya chama chake.

Kiongozi anayemzidi Mbowe ni Robert Mugabe rip wa Zimbabwe lakini Mbowe kutokana na umri wake ana fursa ya kuvunja rekodi hiyo ya Mugabe na Zanu PF, amesisitiza mzee Mgaya.

Maendeleo hayana vyama!
🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
 
jamani fanyeni tathmini kwa usahihi mbowe si rais wa nchi ni mwenyekiti wa chama kama katiba ya chama chake kinaruhusu ,kama akiona yafaa , na kama akipewa tena ridhaa mimi ni nani niseme hatakiwi ...hivi tumejiuliza marehemu Mtikila, Professor Lipumba , na Mrema nk ni wenyeviti wa chama tangu mwaka gani....Kwa mfano bwana Yule tangu anagombea urais mwaka 1995 tayari alikuwa mwenyekiti wakati huo nina miaka 9 leo nina mtoto ana miaka 9 bado tu.... Mwacheni Mbowe ..na wote ambao hawamtaki sio wa chama chake sijui kwa nini

Kwa akili hizi

Acha CCM iendelee tu

Chama ni nchi ndogo
 
Back
Top Bottom