End of the World: Nostradamus 2012, December 21 - Mayan Prophecy

mkuu nina plans nyingi sana kufa mwakani.

hahahahahaaaaa...pole sana..sasa ila kumbuka sikuhizi kufa si lazima ifike hiyo 2012...hasa kwa TZ...kuna MV SPICE nyingi tu, maajali chungu mzima, hosptal dawa hamna na "ngoma" ndo nje nje wakati malaria inashika kasi tu ...umeme wa mgao usiku unatembea giza vibaka kibao(nondo kwa kwenda mbele), hapo bado hujasingiziwa kesi acha kushinda na njaa maana vyakula vinapanda bei kwa mwendo wa mshale wa sekunde wa saa...KIFO NJE NJE TU mkuu! Tumwombe Mungu tu kilichobaki...
 
ujue bwana mi nadhani majani hayatutishi kwa sababu hatujang'atwa na nyoka. Inafika state nchi inakuwa kama filamu ambapo kuna lijamaa likubwa ndio linapiga watu wote halafu starring mdogo mdogo tu. Napenda sana mashairi ya ROMA kwenye Mathematics.
 
msiumize vichwa jamani hii dunia haiishi leo when you die its over
 
Hakuna ajuae siku wala saa ya kuja kwake Mwana wa Adam ila Baba wa Mbinguni. Cha msingi ni kuwa tayari kumlaki mawinguni pindi siku na saa itakapofika
 
Hakuna ajuae siku wala saa ya kuja kwake Mwana wa Adam ila Baba wa Mbinguni. Cha msingi ni kuwa tayari kumlaki mawinguni pindi siku na saa itakapofika
Hatakuja!
Sababu yupo nasi na hajawahi kutuacha hata siku moja!
Kila kitu tufanyacho twafanya mbele zake na chini ya uangalizi na neema zake
kwa hiyo hakuna haja ya kusubiri kumlaki!
Anza sasa kuishi nae!
 
a lot of speculations about 21/12/2012 to be the end of the world are put forward, the evidence given some are relating to bible like in the book of revelation, also our scientist have confirmed on the same day the possibility of earth experiencing solar maxima, coronal mass ejection from the sun, collision with another planet called nibia, earth axial tilt and the most widely connection is the end of the famous mayan calender on the same day, could all these things happening on 21/12/2012 a mere coincidence?
 
...hata may na octoba ilikuwa hivyo. Hakuna ajuae saa wala dakika ila baba yenu wa mbinguni.
 
Hakuna ajue siku wala saa hata malaika wa mbinguni hawajui, ila ni Mungu pekee yake aliyeumba vyote.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom