End of the World: Nostradamus 2012, December 21 - Mayan Prophecy

Kiu kweli ndugu zangu wapendwa tupo katika kipindi cha mwisho wa Dunia hakika Dunia Itaharibiwa vibaya,hakika yesu kristo yuaja tujiandae wapendwa!!
Kama Mwisho wa Dunia utafika kutakuwa na ile kitu watu kukataa Majina yao... Mayambwe naye akiitwa sijui ataitika! Mariam wa Yusuph atastushwa pale atakaposikia Mwanae Yah-shua akiitwa Yesu au Jesus....


Germany Machine kesha mpiga Portugal Tatu....mpira unaendelea...
 
Dunia haina mwisho isipokuwa viumbe ndio vina mwisho. Pale utakapokufa ndio utakuwa mwisho wa dunia yako lakini dunia itakuwepo
 
Kitabu cha Wakristo kinasema kuwa "HAKUNA AJUWAYE SIKU, SAA, WALA MUDA wa hiyo END OF THE WORLD. Nafikiri wapo sawa.
 
biblia inasema,kwa mtini jifunzeni mfano huu...basi muyaonapo hayo,mjue ule mwisho u karibu!ni dalili tu na mwenendo wa mambo ndio utatusaidia kujua mwisho u karibu.tutajua tu tunakaribia mwisho lakini siku yenyewe exactly anaijua MZEE WA SIKU peke yake!sie tuwe na hekima ya kuzisoma nyakati tu nakujua tuko wapi na tunatakiwa tufanye nini.hekima hiyo inapatikana ktk vitabu vitakatifu.yapo mengi yameelezwa humo kiasi kwamba ukiyajua unaweza kuisoma dunia vizuuri na ukajua inakoelekea na ukahisi ukaribu wa matukio.december 21 si mwisho wa dunia maana kuna dalili nyingi hazijatokea kama vile vita kuu ya tatu ya dunia.ila ukiona uongo unaenezwa kwa kasi sana ujue kuna ajenda ya shetani nyuma yake.tutegemee mabadiliko mengi duniani kuanzia hiyo dec 21 na kuendelea miaka michache ijayo tutayaona kwa uwazi,mabadiliko ambayo nategemea yatakuwa na lengo la kudhoofisha imani za watu kwa MUNGU na pia ustawi sahihi wa ubinadamu.itakuwa mwanzo wa vurugu ambazo mwanadamu hajawahi kuzishuhudia.napenda kusema hivi,"december 21"ni mwanzo wa mwisho wa dunia!

Tangu December 21 2012 hadi leo,sijui tunauonaje mwenendo wa Dunia?!ntaendelea kuwakumbusheni hiyo post niliyoquote hapo juu.
 
Leo ktk radio moja kulikuwa kuna mdada mmoja anatangaza ya kuwa mtu yeyote atakae MTONGOZA anaenda kumshitaki na anawahamasisha wanawake wengine ktk Tanzania wasikubali kutongozwa,Je hii ni sawa ?

Huyo siyo mwanamke,labda anavaa nguo za kike ili hali ndani Dume la shoka,au hana vigezo vya kutongozwa ndo maana anaona kwke kutongozw na kama mwanamke kujisaidia haja ndogo huku kasimama,
 
the world will come to an end when we completely have destroyed nature upside down, no more water, trees, ecosystem completely distorted, all food will be coming from industries no cultivated food. At the point the world will come to an end.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom