END of CHADEMA

Status
Not open for further replies.

Kachanchabuseta

JF-Expert Member
Mar 8, 2010
7,270
675
Huu ni ushahidi tosha ya kuwa chadema inaeleke kufa kama sio kupotea katika siasa za Tanzania
ilianza 2010 wakawa wanapata wafuasi wengi lakini hawapigi kula Dr Slaa akaanguka Vibaya

Na sasa Kashindye Joseph kasababisha mtafaruku katika chadema timu nzima ya wabunge wake
ilielekea Igunga na kuambulia patupu

Mytake: Kwa mtindo huu Chadema haitokuwa chama cha kuongoza nchi hii
kaburi lake wamejichongea WENYEWE
 
Ungekuwa hauna akili kama ya mtatiro ungefanya tathimini ya idadi ya kura walizopata CDM kuanzia mda uliotaja mpaka uchaguzi wa Igunga jana then ndo ufanye maamuzi ya kuandika ulichokiandika humu. Huwezi kupaka rangi upepo.
 
Arifu acha kutuletea mambo ya kisoro-soro chama-angu..........utafikiri unatoa mawazo ukiwa umetoka kucheza mchezo wa kibaba na mama na Mchemba

Hizo ni ndoto tu za asubuhi na siku mtakapoamka kitu kimezama ndo mtajua kama CDM inakufa au mnaifia
 
Huu ni ushahidi tosha ya kuwa chadema inaeleke kufa kama sio kupotea katika siasa za Tanzania
ilianza 2010 wakawa wanapata wafuasi wengi lakini hawapigi kula Dr Slaa akaanguka Vibaya

Na sasa Kashindye Joseph kasababisha mtafaruku katika chadema timu nzima ya wabunge wake
ilielekea Igunga na kuambulia patupu

Mytake: Kwa mtindo huu Chadema haitokuwa chama cha kuongoza nchi hii
kaburi lake wamejichongea WENYEWE

aliyekwambia ni nani kuwa huu ndiyo mwisho wa cdm? Hayo ni maoni yako na si ukweli.
 
Sina hakika kama uliyeandika hapa ungepewa mtihani wa 1+0 kama ungesema ni moja. Bila shaka ungesema ni 10. Fikiria kabla jujatoa wazo lako. Ccm ni sawa na bibi wa miaka ya 1920 ambaye hata kama ni maajabu hawezi ishi tena hadi 2020. Atakufa tuu, mtaji wa sasa ni vijana,watoto na watu wazima wenye mwamko na sio mawazo mgando kama haya uyasemayo. Huwezi sema "END OF CHADEMA"kama kweli ur a great thinker. hata CHADEMA wakifanya vibaya miaka iyayo, bado wakipingwa tutakubali. Bila shaka utakua miongoni mwa wazee wakati huo. CCM kwa sasa ndugu yanyu ni sawa na ukoloni wa miaka ya 1961 rudu nyuma, sijui kama una machungu ya wakati huo.Jaribu kumdadisi mzee yeyote akuambie, kwa sasa ni sawa na kifo cha gesi,na ndo mabo ya kiCCM.aNGALIA dowansi juzi na riba zake, kweli maisha ya Igunga ni yakufurahia?Watanzania je?

hakika kama mtoto katokea nyumbani akaingia darasani na akafanya vizuri karibu sawa na aliyeanza shule miaka 50 iliyopita nani wakusifiwa au kupongezwa kati ya hawa 2? huna sababu ya kusema "end of CHADEMA" bora ungesema "THE RISE OF CHADEMA"
 
watu 2 walikuwa wakibishana hivi
wa kwanza(A) alikuwa anashinda kila chaguzi kwa kura 10 sasa anashinda kwa kura 5
wa pili alikuwa(B) AKISHINDWA kila chaguzi kwa kupata 6 sasa ANASHINDWA kwa kupata kura 8
1.kati ya wawili nani anapata maendeleo
2.Kati ya A na B nani CCM nani CDM
 
Mwaka jana wapiga kura wale wale mmepata kura elfu 35 sawa na asilimia zaidi 80 mwaka huu wapiga kura wale wale mmepata kura elf 26.chadema mwaka jana kura elf 6 mwaka huu kura elf 23. Sasa chama kipi kinakufa kati ya cdm na ccm
 
Huu ni ushahidi tosha ya kuwa chadema inaeleke kufa kama sio kupotea katika siasa za Tanzania
ilianza 2010 wakawa wanapata wafuasi wengi lakini hawapigi kula Dr Slaa akaanguka Vibaya

Na sasa Kashindye Joseph kasababisha mtafaruku katika chadema timu nzima ya wabunge wake
ilielekea Igunga na kuambulia patupu

Mytake: Kwa mtindo huu Chadema haitokuwa chama cha kuongoza nchi hii
kaburi lake wamejichongea WENYEWE

unajua ukisemacho au unapima oil?
 
Arifu acha kutuletea mambo ya kisoro-soro chama-angu..........utafikiri unatoa mawazo ukiwa umetoka kucheza mchezo wa kibaba na mama na Mchemba

Hizo ni ndoto tu za asubuhi na siku mtakapoamka kitu kimezama ndo mtajua kama CDM inakufa au mnaifia

Wewew magamba yasome hapo juu, ningekuwa kwenye kompyuta ninge hilight maneno fulani ili tiweke kumbukumbu sawa.
 
Kweli nimeamini wewe ni J.K kwa kungalia mtazamo wako,si unakumbuka wajina wako akiulizwa majibu anayotoa ni mepesi sana ni sawa na wewe data zote unazo lakini kuanalyse zinakushinda::Jibu swali la chini hilo

"Mwaka jana wapiga kura wale wale mmepata kura elfu 35 sawa na asilimia zaidi 80 mwaka huu wapiga kura wale wale mmepata kura elf 26.chadema mwaka jana kura elf 6 mwaka huu kura elf 23. Sasa chama kipi kinakufa kati ya cdm na ccm"
 
[jinga sana veve,..]

Nimeipenda sana hii.ngd yangu Tbag Hatari, inaonekana mleta mada hii ni chakula ya wenye ccm naye anatumia makalio kufikiri. Kwa mtu mwe akili timamu kwa kura za cDm ni km ushindi. Nasema hivyo kwa sababu CDM haikuwahi kuwania jimbo hilo hata siku moja, lakini imetoa ushindani mkubwa kiasi kwamba ccm wakaanza kutoa hadi hongo za madaraja kwa bajeti maarum. mada yake angeandika kuhusu ya ccm b (CUF) ambayo pamoja na mtaji wa 11000 waliodai, size yao kumbe ilikuwa SAU na CHAUSTA. JEYKEY wa we chakula kweli km mwenzio alivyo chakula ya wamarekani.
 
Huu ni ushahidi tosha ya kuwa chadema inaeleke kufa kama sio kupotea katika siasa za Tanzania
ilianza 2010 wakawa wanapata wafuasi wengi lakini hawapigi kula Dr Slaa akaanguka Vibaya

Na sasa Kashindye Joseph kasababisha mtafaruku katika chadema timu nzima ya wabunge wake
ilielekea Igunga na kuambulia patupu

Mytake: Kwa mtindo huu Chadema haitokuwa chama cha kuongoza nchi hii
kaburi lake wamejichongea WENYEWE

JeyKey, huo ni ukweli usiopingika na magwanda hilo hawalioni, ngoja baada ya siku mbili tatu tuone wanavyotoana macho kwa kukamatana uchawi.
 
Kweli nimeamini wewe ni J.K kwa kungalia mtazamo wako,si unakumbuka wajina wako akiulizwa majibu anayotoa ni mepesi sana ni sawa na wewe data zote unazo lakini kuanalyse zinakushinda::Jibu swali la chini hilo

"Mwaka jana wapiga kura wale wale mmepata kura elfu 35 sawa na asilimia zaidi 80 mwaka huu wapiga kura wale wale mmepata kura elf 26.chadema mwaka jana kura elf 6 mwaka huu kura elf 23. Sasa chama kipi kinakufa kati ya cdm na ccm"

Anaekufa alieshindwa uchaguzi. Na kama mnakubali hayo ndio matokeo kwanini mnaleta zile zenu za kususasusa? mnaongozwa na kijana aliyekuwa anasusasusa kwa kudeka hata kula, hiki sili hiki nakula, hamjijui hamjitambui.
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom